Habari wadau wa elimu,
kuna chuo cha kilimo na technologia butiama kilianza mwaka 2014. Chuo kipo butiama na kina walimu na majengo yote muhimu kwa program za bachelor au diploma kuanza lkn...
Nimemaliza form four 2010 nimesoma shule ya kata pia nina diploma yenye gpa ya 4.7 nimeomba mkopo kozi niliyochaguliwa degree ni business administration nimeambatanisha na vyeti vya vifo vya...
Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA ili nijibanze kwenye kuhesabu pesa za madini, nipeni utaratibu, gharama zake ni sh ngapi na mtihani ni mwezi wa ngapi.
Leo ndiyo tarehe 5 ,kama sijakosea. TCU calender ilionesha kuwa watafungua dirisha lá uhamisho kwa wanafunzi wa mwaka wa Kwanza,
jé wamefungua tayari?
Taratibu zipoje zá kufuata ili mwanafunzi...
Kutangaza shule inayoshika nafasi ya kwanza, yapili nk.
Faida
I. inaongeza ushindani kwa wamiliki wa shule
II. inaongoza wazazi kujua shule ipi nzuri.
Hasara
I. inasababisha wizi wa mitihani ya...
Naombeni ushauri wadau je, naweza chaguliwa bachelor chuo cha open? Je nisome diploma? Je. Niludie mtihani? Au nikasome foundation?
P0385/0504
M
15
III
G/STUDIES - 'E' HISTORY - 'D' KISWAHILI...
Wadau Habari?
Msaada wa kujua vituo vya kufundishia Tuition vilivyopo Dar kwa ajili ya manafunzi wanaoingia kidato cha NNE au waliopo kidato cha nne.
Ninandugu hapa katoka kijijini na anatamani...
Wadau Habari?
Msaada wa kujua vituo vya kufundishia Tuition vilivyopo Dar kwa ajili ya manafunzi wanaoingia kidato cha NNE au waliopo kidato cha nne.
Ninandugu hapa katoka kijijini na anatamani...
Kwema ndugu zangu?.Naomba msaada wa kujua ni kozi ipi ya ualimu ngazi ya Diploma inanifaa kwa matokeo yangu haya ya O LEVEL:
DIVISION I point 14, Physics(B), Chemistry(A), Maths(B).
A...
Wakuu, inajulikana hapa nchini pana Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wanaomaliza Kidato cha Sita kwa wale wanaojiunga na Vyuo kwa masomo zaidi.
Sasa naomba kufahamishwa ili mwanafunzi apate huo mkopo...
Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu.
Kama mwana JF hata mmoja haja...
Kuna mtu anahitaji kufahamu yafuatayo kuhusu ESAMI
Je chuo kinamilikiwa na Serikali ya Tanzania kwa sasa kama mmiliki pekee?
Vp kuhusu mishahara ya staff ni Sawa kama vyuo vingine, mfano UDSM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.