Inawezekana hapo juu sijaeleweka vizuri lakini fuatana nami utaelewa tu,
Shule moja hivi ipo Wilaya ya Kilindi Tanga... vijana waliohitimu mwaka jana wakifuata leaving zao wanakuta hazijakamilika...
KWENU WAHENGA : ETI DARASA LA SABA WA ZAMANI NI SAWA NA FORM SIX WA SASA ?
📌Leo nawauliza wahenga waliosoma zama hizo wakati elimu ya msingi bado haijapoteza msingi wake ule halisi wa kumwandaa...
Mimi ni kijana nimehitimu shahada yangu ya Bachelor of science with Education Geography and Biology mwaka 2018 nimeona nifungue fursa hii ili kuweza kupata kianzio ili badae nijenge kituo bora...
Ninaomba ushauri kwa waliosoma stashahada hiyo, kuhusu masomo na mitihani kwenye hiyo kozi.Nimechaguliwa kusoma ualimu wa masomo ya fizikia na biology, nimemaliza form four 2007.Baadhi ya watu...
Nimekuwa nijiuliza kulikoni PCB mtu anafaulu na AAB, BBB, ABB and the like. Kumbe ni mitihani level ya kidato cha PILI na kidogo cha NNE
Angalia biology -2020: Maswali ya form 2... kidogo form 4!
Wanajamii forum
Naombeni msaada tafadhalinii.
Nina shahada ya usimamizi wa Kodii nataka nikasome master kwa sasa hivii,
Naombeni kujuzwa naweza kusoma master ya nini kulingana na uhitaji wa soko...
Nimeona vyuo vinahitaji D pass in chemistry, biology , ni ya kweli haya? bandiko lenu naliweka mnakanusha. D kweli form 4 ni kumpeleka mtu kesho aje kutibu watu?
OLANDOTO COLLEGE OF HEALTH...
Habari wana jamvi
Mimi nimechaguliwa kusoma chuo course ya bachelor of science in education UDOM ila baada ya kufika chuo malengo yangu yalikua kusoma NURSING nmeulizia utaratibu wa kubadili...
Nacte wamefungua tayari, kwa wale wa diploma na certificate only na majibu nadhani yatakuwa yametolewa. Kwa elezo zaid tembelea nacte.go.tz
=====
Tayari posts za wale waloapply NACTE mwaka huu...
Nilikuja hapa na tatizo la nephew wangu alidisco, mlinipa ushauri tulioufanyia kazi, aliandika appeal na kuipeleka chuoni mwisho wa mwezi July. Ni kweli kuna makosa yalitendeka, ingawaje kesi...
Ndugu zangu mnisaidie naombeni ushauri wenu
Nimefanya mtihan wa form 4 aalafu malengo yangu ni kwenda chuo diploma
Tena napenda nisomee water management au laboratory technician
Lakini naona...
Habari wana JF
Naomba ushauri ipi kozi nzuri zaidi kwenye soko la ajira kati ya Masters ya Project Management na Masters ya Social Work.
Ahsanteni sana.
Wakuu habari zenu!
Sina nia ya kutambishiana wala kuleta majivuni, HAPANA!
Ningependa kufahamu kwa uzoefu wenu hususani mambo ya fani ya sheria.
Je, ikatokea umepata LLB kwenye Chuo cha UDOM na...
UNA MATATIZO AMBAYO YANAKUSUMBUA LAKINI HUJUI WAPI PA KUANZIA KUYATATUA?
JE, unafikiri ni nani wa kulaumiwa kwa changamoto na matatizo yote unayopitia? Ni mzazi, mlezi, Ndugu, Jamii au serikali...
Habari,
Nina mdogo wangu Ni clinical officer ( Ana Diploma) Ni in charge huko vijijini.Amekuwa aki.apply kwenda kusoma course mbali mbali za afya na hapati huu mwaka wa tatu.
Course alizoomba...
Habari humu.
Nipo njia panda , nahitaji Mawazo yenu kufanya maamuzi ya mwisho.
Ipo hivi nimechaguliwa UDSM ( BA in Psychology) na Tudarco ( LLB).
Kila MTU ana ndoto zake lakini pia siku hizi...
Hii ni kwa wote iwe ndani ya chuo au kati ya Chuo..baada kumeet zile criteria zote za kufanya transfer,ni muhimu kuhakikisha programme unayohamia ina kiwango cha ada sawa na ile unayohama sababu...
Nina vijana wangu wamepata nafasi chuo cha afya tanga moja kwa moja kutoka kidato cha nne.
Katika mambo yalilonishangaza ni kama ifuatavyo:
1. Suala la chakula mwanafunzi anatakiwa kujitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.