Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah ====== Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa...
0 Reactions
236 Replies
30K Views
Wakuu kuna shida gani nitakutana nazo ikiwa ntachelewa kuripoti chuo yaani nikaenda baada ya hizi wiki mbili walizotoa mimi ni first year chuo ni UDSM. Maana life is not fair mambo yameingiliana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kozi ya Boa ukimaliza, Unaweza ajiriwa serikalini, na sekta binafsi. Piaa unaweza kujiunga na Kozi katika ngazi ya Diploma in Business Administration,Accounts and Finance,Procurement and Supply...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani naomba kwa anaejua namna nzuri na sahihi ya kupangilia cha kuandika nje ya bahasha ya barua ya kuomba kazi Asante.
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Naomba kujua ni vyuo vipi bora vya serikali kwa kusoma diploma ya clinical medicine?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie kunielezea what is meaning of working paper na importance zake ambazo zinasema it support audit conclusion, na it is a future to another auditor maelezo naomba in Swahili Nina...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Kwa kuzingatia vigezo anuwai vya kuchambua ubora wa elimu, naomba tujadili nchi ipi kwa Africa mashariki ina elimu bora kuliko zote. I have to declare my interest on this, am not allied to any...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu zangu!! Nimemaliza kidato cha nne na kupata alama zifuatazo Biology C Chemistry D Mathematics D Physics F Geography C English B Naomba msaada naweza kusoma kozi gani ya afya?
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Tamisemi imewapaje watu kazi waliohitimu 2019 2018 Wakati katika tangazo ilisema haitaajir watu wa waliohitimu 2019 college? Mbali na hapo kuna watu wamehitimu 2015 university hawajapewa kabisa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili suala la matokeo ya wanafunzi limekuwa kero kubwa sana kwa wanafunzi, yaani si ajabu chuo kupanga ratiba ya sup uku wanafunzi hawajui matokeo yao kupitia SAUT-OSIM. Wanafunzi katika kozi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wakubwa wangu. Nina changamoto moja naombeni ushauri kwa mwenye uzoefu nayo. Ni hivi majina yangu kwenye Cheti cha kuzaliwa yanaonekana kwa urefu yaan mfano. Fadhil Cosmas Ilomo, lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Kwa machozi mengi naandika juu ya jambo hili. Mimi Ni mmoja kati ya wahitimu katika kozi ya "DIPLOMA IN TECHNICAL EDUCATION" 2019 katika chuo Cha Ualimu Kleruu. Nia yangu...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi. Naomba msaada wa ushauri. Nina binti yangu yuko form four mwaka huu, ndo wanafanya mitihani, anasoma science na arts pia, sasa yeye anatamani kuwa mwanajeshi na Mimi sina...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
yirabu sio jina geni kama ni mfuatiliaji wa International relations,uchambuzi wa siasa za ndani na nje ya nchi,usuluhishi wa migogoro na nk. Department ya PSPA,huyu jamaa ameweka rekodi ama...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Kuna mdogo wangu anamakisi hizi hapa CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'D' B/MATH - F. Division 4-31. Bado anapenda elimu ,naomba ushauri wenu wa kitu gani cha kusoma au...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwenye kitabu cha Evarist Chalali kinachousiana na Afisa usalama ni nani, naomba anisaidie. 🙏🙏🙏
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimerudi, tena kuomba msaada, mdogo wangu ni mhitimu wa kidato cha nne na ana ufaulu mzuri hivo naomba, kufamishwa juu ya chuo kizuri, kinachotoa Elimu ya afya kwa kozi ya Ufamasia...
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Naomba mwenye uelewa anifafanulie tofauti ya Bachelor of science na bachelor of art, mfano Bsc in agriculture , Bsc in agronomy na Bachelor of Arts in Co-operative Management and Accounting (BA-CMA)
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Back
Top Bottom