Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu wapendwa nimekutana na huyu kijana ambaye alisoma programme ya kikwete ualimu wa sayansi pale UDOM na kutimuliwa sasa alifanikiwa kumaliza kozi yake. Ila anataka kusoma kozi nyingine ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habri za mdaa huu ndugu zangu kwa yoyote mwenye soft copy ya vitabu ivyo juu naomba msaada tafadhari ninashida navyo sana. Sent from my iPhone using JamiiForums
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kwa mwenye soft copy ya vitabu, pamhets kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Je, SAUT University Mwanza compus Kuna course ya education yenye Mathematics?
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA.. Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana Jukwaa wenzangu, mm mdogo wenu nilifanikiwa kuomba vyuo vinne na namshukuru mungu majibu yametoka nimechaguliwa vyuo vyote hivyo nimekuja hapa kuwaombeni mnipe ushaur...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Wakuu natumaini mko salama mnandelea na majukumu ya hapa na pale kwa lengo la kutafuta mkate wa kila siku. Niende moja kwa moja kwenye maada naomba kupata huu mtiririko wa elimu kwa profesor...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini wanajukwaa naomba kujua ada za Open University of Tanzania kwa Ngazi ya Diploma
0 Reactions
0 Replies
1K Views
faculty gan ni wide na bora kati ya hizi Information technology Information communication technology Computer science Computer engineering Software engineering
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hv kwann hizi namba za mawasiliano za vyuo mbalimbali huwa hazipatikani na ukizipata always watakwambia inatumika kwa sasa.sasa kwann wameziweka?
1 Reactions
9 Replies
862 Views
Vijana wenzangu naona Siku zinakwenda mbio, form 6 ndo hao washaanza mitihani na kwa wale waliopo vyuo vya kati kumalizia diploma naona semester ndo hvyo tena inakatika mdogomdgo. Bila shaka next...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Habari wana JF, Naomba msaada kwa yeyote anaye faham namna ya ku reapply katika chuo cha SUA maana nimehangaita toka Asubuhi had muda huu Sijafanikiwa. Msaada wenu wakuu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF, From diploma to best uni (UDSM) inahitaji sifa zipi na idadi inayodahiliwa ni kubwa au?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada kwa aliyepata joining instruction ya mwalimu nyerere memorial academy kwa kozi za diploma maana nimetafuta nimekosa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu naomba kufahamu kama hizo course zinatumia mtaala mmoja,
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu, kuna mtoto wa dada yangu nimemfanyia application ndoto zake kubwa ni kusoma udaktari hasa hasa anapenda sana MUHAS akilala akiamka ananiuliza mjomba ntapata kweli chuo namuambia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kufahamu jamani kwa hivi vyuo vikuu amabvyo vitadahili wanafunzi vyuo vikuu, vitafungua dirisha USIKU huu(SAA 6 USIKU..?)
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu naomba kufahamu vitu vifuatavyo: 1. Objective 2. Career opportunity ya hii course 3. Uhusiano wake na Course ya Pharmacy 4. Kuna Bodi ambayo inasimamia hii kitu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF Nataka niombe Kozi kwenye second round itakayo anza kesho. Je kati ya Kozi hizi ipi niweke Kama first priority ili niweze pata chuo awamu hii ya pili
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani waungwana ambae anajua details kidogo kuhusu hiyo kozi chuo cha ardhi. Yaani kazi zake na ugumu au urahisi wake? Msaada jamani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom