Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania, limesema watahiniwa 82,440 sawa na asilimia 98.35 ya watahiniwa 84,212 waliofanya mtihani kidato cha sita Juni/Julai 2020 wamefaulu...
4 Reactions
140 Replies
23K Views
Wakuu HESLB hujibu baada ya muda gani? Na muda muafaka wa kuripoti chuoni ni UPI? Asanteni
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Habari za wakuu, Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kufuta baadhi ya attacments kwenye sehemu ACADEMIC QUALIFICATION kwenye RECRUITMENT PORTAL YA UTUMISHI W UMMA maana kuna attachment nimeziattach...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Kama niulizavyo hapo naomba kujua mtu yeyote aliyesoma chuo cha COTC Bumbuli Lushoto, Tanga. Kuna baadhi ya watu wamechaguliwa huko so naomba kwa aliyesoma au anayekifahamu hicho...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani waungwana ambae anajua details kidogo kuhusu hiyo kozi chuo cha ardhi. Yaani kazi zake na ugumu au urahisi wake? Msaada jamani.
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Habari wakuu naomba kufahamu vitu vifuatavyo: 1. Objective 2. Career opportunity ya hii course 3. Uhusiano wake na Course ya Pharmacy 4. Kuna Bodi ambayo inasimamia hii kitu
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Nina mdogo wangu kamaliza 4 anasoma form 5 mchepuo Wa (EGM) shule moja kanda ya ziwa. Alimaliza Ngarenaro sekondari na alipata division 2 ya pointi 20. Sasa mazingira ya alipo hayaridhishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF nina Rafiki yangu amechaguliwa Bsc in Wildlife Conservation pale UDSM na Humani Nutrition pale SUA ameshindwa ku-confirm anaomba USHAURI aende kozi gani kati ya hizo mbili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. Nilikuwa naomba ushauri/msaada. Kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhili wa masomo kwa ngazi ya diploma kwa wale wasioweza kumudu ada. Mimi ni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajamii, hii imekaaje? Leo nimepigiwa simu na jamaa yangu yupo Chato, amekuta wanafunzi wa shule ya sekondari Mujumuzi (ya binafsi) wameandamana barabarani wakidai baadhi walimu wao kurudishwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo. Phy-C Chem-C Bios-C Bam-D Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Wakuu kwa heshima na taadhima HESHIMA yenu, Mdogo wenu hapa naomba msaada. Nimemaliza form six mwaka huu kwenye dirisha la udahili awamu ya Kwanza nimekosa vyuo vyote nilivyoomba ambavyo ni; 1...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kijana wenu nina Diploma ya Water Laboratory and Technology niliyosomea Water Institute. Nataka kuomba chuo sasa hivi Bachelor in Automobile Engineering pale NIT, inawezekana?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani waungwana ambae anajua details kidogo kuhusu hiyo kozi chuo cha ardhi. Yaani kazi zake na ugumu au urahisi wake? Msaada jamani.
0 Reactions
0 Replies
492 Views
HABARI Kwahapa Dar nichuo gani kipo juu kwakozi ya BUSINESS ADMINISTRATION Kuna muhitimu anataka kujiunga nakozi ya Business ADMINISTRATION kwangazi ya BACHELOR Mwenye uelewa mpana kuhusu hii...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wana jamvi nilikuwa naomba kupewa elimu kidogo kipengele cha direct payments to the students chuo cha NIT nimeshindwa kuku kielewa kabisa , lakini kipengele cha tuition fees mekielewa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
-BACHELOR IN HUMAN RESOURCES -BACHELOR IN PUBLIC ADMINISTRATION -BACHELOR IN BUSSINESS ADMINISTRATION -BACHELOR IN LAW ENFORCEMENT -BACHELOR IN PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN -BACHELOR OF BUSINESS...
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Naomba kwa yoyote anaeweza kunifafanulia vyema kuhusiana na hii course ya logistics and transport management anielezeee tafadhali sanaaa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, kuna kitu najiuliza kuhusu MPH ya MUHAS. Kwa miaka mitano mfululizo now naona watu wengi sana wanaiappky kulingana na Masters degrees nyingine. Hii imepelekea mimi kujiuliza swali je ni kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom