Hi! Kwa wana JF wote,
Samahani ninaomba msaada kuna dogo wangu hapa amesoma HGK ana two ya 11 yaani History-D, Geography-D na Kiswahili-C nilikuwa naomba mnishauri ajaze course gani...
Habari za uzima wapendwa,
Naomba kuuliza kwa Mwenye uelewa kuhusu chuo kikuu cha Teofilo Kisanji Mbeya anijulishe ubora wake kama kipo vizuri kwenye kozi ya IT yani information technology...
shakamooni wakubwa zangu, poleni na majukumu,
Mimi mdogo wenu kutokana na wenge la matokeo ya mtihani wa taifa f6 2020 nilipata kuomba moja ya chuo cha diploma hapa nchini, kwa bahati nzuri...
Kama form four ulisomea shule ya serikali na ukafaulu vizuri ukaingia chuo, ukamaliza kusoma diploma kwa miaka mitatu na ukataka uendelee na degree. Unaweza kupata mkopo kutoka serikalini huko...
Habari.
Uzi huu ni special kwa ajili ya kuwapa ushauri, ukumbusho, usia wadogo zenu wanaoenda vyuoni kumaliza semister kwa miezi 3na sio 4 tena.
Kwa jinsi gani wajiweke vyuoni, mienendo yao ya...
If you happened to go through a Jesuit Learning Institution anywhere in the world and you are currently based in Dar es salaam...PM me...I am a Jesuit Alumnus myself and I recently attended a...
HABARI
- Kwahapa Dar nichuo gani kipo juu kwakozi ya BUSINESS ADMINISTRATION
- Je, uhitaji wake serikal kwenye nafasi zakazi
- Soko lake laajira lipo vipi .
Kuna muhitimu anataka kujiunga...
-Bachelor of Commerce in Accounting
-Bachelor of Accounting and Finance in Public Sector
-Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector
-Bachelor of Acounting and Finance
Na pia chuo...
Habari za wakati wanajamvi wenzangu, eee bhana nimetoka kuchukua form ya Kumfanyia maombi mdogo wangu aliyemaliza Form six juzi kati. Matokeo yake hayakuwa mazuri sana hivyo nikaona nimpeleke...
Habarini za majukumu ya leo wana jamii forums.
Naomba kuwashirikisha moja ya changamoto iliyotokea kwa watu kadhaa katika zoezi la uombaji wa kazi ya ualimu kupitia tovuti iliyotolewa na...
Habari wadau?!
Hivi katika hali ya kawaida, mimi nikitazama mfumo wetu wa elimu tokea vidudu hadi chuo kikuu ni uwekezaji mkubwa sana wa pesa ambao hauna guarantee ya uhakika na ile hali wazazi...
Habari wana JF
Nina umri wa miaka 30 nimeishia drs la Saba ila napata fursa nyingi sana lakini kutokana na elimu yangu ni ndogo Kuna baadhi ya fursa zinanipita naombeni msaada nawezaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.