Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu nataka kutengeneza circuit inayopokea volt 9v na kutoa volt 900V ya DC KUNA AMBAYO NIMEPEWA SEMA IMENISHINDA KWA ANAYEWEZA NIMPE DILI Kuna circuit mbili moja ishakubali bado hiyo ya kutoa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nina mpango wa kuendelea kupiga kitabu, hivyo chuo kipi kina ubora na malezi bora kwa ngazi ya stashahada ya ualimu. Nawasilisha #magema jr
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SERA Tangu sera mpya ya Elimu ya mwaka 2014 iliyopitishwa na Raisi wa awamu ya nne Dr Jakaya M Kikwete pamoja na waziri wa elimu wa wakati huo Dr Shukuru Kawambwa kumefanyika mabailiko katika...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za Jpili wakuu natumai mu wazima wa afya kabisa. Husika na kichwa cha habari hapo juu Mdogo wangu ameniomba ushauri juu ya kozi hapo juu ambayo amechaguliwa chuo cha ATC. Anataka kujua...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake.. Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences Nawakaribisha.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mwenye kujua ada ya Feza boys anisaidie. A rough figure can serve the purpose... kama kuna michango yoyote ya kudumu naomba please.
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Habari..!! Kwa mujibu wa tangazo la HESLB limeonesha kuwa kuanzia leo wametoa fursa kwa waombaji kurekebisha taarifa zao. Binafsi nilitumia partial transcription na sasa ninayo full ila sijapata...
0 Reactions
82 Replies
11K Views
Serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi; Naomba ifikilie kurasimisha vituo vya watoto chekechea viwe (basic schools). Ambapo Watoto watafundishwa kwa miaka mitatu katika vituo...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wanajukwaa la Elimu... kwa heshima na taadhima ninajambo naomba msaada kwenu... Nilimaliza elimu yangu ya sekondari (O'Level) mwaka 2002 Shule flani ya ufundi hapa nchini tuseme miaka 18...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba kufahamu mtu ili aweze kufundisha college inayotoa diploma anatakiwa awe na shahada ya GPA ya ngapi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baraza la mitihani NECTA ongezeni macho katika usimamizi wa mitihani ya darasa la Saba wilayani TARIME. Kuna mbinu chafu zimebainika zitatumiwa na baadhi ya wamiliki wa shule za binafsi ili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini za masiku Wanaelimu, watu wagumu, mareal great thinkerz, jukwaa lisilo na wauza sura, japo wengi tu mafukara Asalaam Aleykum. Huu ni Uzi kwaajili ya kupeana dondoo mbalimbali juu ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wa Jukwaa, Naombeni mnijuze sehemu nzuri ninayoweza kusoma kiingereza kwa Tabora mjini (English course). Asanteni na karibu kwa michango yanu pia ushauri wenu nitapokea
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau,husika na kichwa cha Uzi naomba msaada maana sijapata taarifa yoyote.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Our #MCM Alumnus goes to the University of Dar es Salaam Vice Chancellor Prof. William-Andey Lazaro Anangisye. As we are celebrating the World Teacher’s day today, Professor Anangisye is an...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Waungwana habari za wakati huu? Poleni kwa kampeni zinazoendelea na hongera kama chama chako kinafanya vizuri! Ndugu naomba kujuzwa ni wapi naweza pata Joho la kununua angalau moja au mawili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kumekuwa na uhaba wa vyuo vinavyotoa kozi za jioni hapa Morogoro mjini ili watu waweze kujiendeleza na elimu kwa muda wa ziada hasa jioni hivyo kupelekea kuwa na uhitaji mkubwa wa watu kupata...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, ni imani yangu mko salama. Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu asifiwe, asallam alleikhum! Nina shahada ya Elimu (B.A.Ed) na nimefanya kazi kwa miaka 6 sasa, ninafikiria kujiendeleza...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Katika mwaka huu wa masomo 2020 serikali imejitahidi kuleta fedha kwa ajili ya maendeleo hasa maboresho katika miundombinu ya shule pamoja na kujenga miundo mbinu mipya ya shule hizi hasa za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nakumbuka mwaka jana tuliitwa kwenye semina Morogoro kujadili mchakato wa kuhamisha vyuo vya Ualimu kusimamiwa na NACTE badala ya NECTA. Dr. Primus Nkwera Katibu Mtendaji wa NACTE alisimama...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom