Naombeni msaada mafundi simu mnisaidie nijifunze na mimi ufundi hata nikienda chuo nisikose mia mbili mia tatu za ufundi.
Kwa sasa nipo tu nyumbani sina kazi, sina kibarua chochote licha ya...
Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilihitimu Form Six 2017 ila sikwenda chuo japo nilichaguliwa sasa mwaka huu nilipofanya applications system zinanikataa zinasema tayari nishakuwa admitted kwenye...
Habari zenu wadau wa Elimu
I hope mko poa, mimi ni mtu ambaye nimesoma Certificate (Astashahada/Cheti) katika moja ya vyuo vikubwa 2 hapa nchini, lakini pia nimefanikiwa kusoma...
Habarini wana JamiiForums,
Nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna mtu miaka ya hivi karibuni amechaguliwa kusoma Nursing au Pharmacy kwa ngazi ya degree na alisoma CBG.
Habari wana JF,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha Afya ngazi ya Diploma nachukua Diploma ya Clinical Medicine. Kwa sasa nipo mwaka wa kwanza ndo tuliorudishwa kwenye hii likizo lakini nilikuwa tayar...
Samahan wakuu kwa anayeelewa naomba kuuliza ile form ilyotolewa na HESLB ni format ya jinsi ya kuandika ile barua au inakuaje? Naomba anayeelewa anipe maelekezo kidogo [emoji120]
Hello JF,
75% of Tanzanians depends on Agriculture and most of these people live in rural area, it makes sense if the government wants to invest then Rural areas should be one area of focus.
One...
Naomba kuuliza hivi TANESCO hawana mitihani ya bodi? Au ile mitihani ya kusoma miezi michache then unaenda kupiga pepa lao ukifaulu unachukua cheti chao. Bila kupitia chuoni!!! Yani kwa kila ngazi...
Habari mdau mwenzangu,
Msaada kwa anayejua jinsi na utaratibu wa kujiunga na masomo ya CPA kwa aliye na cheti kisichohusiana na masuala ya uhasibu.
Mwanza masomo yanapatikana maeneo gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.