Habari wanajukwaa la Elimu
Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua ktk level ya degree
Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na...
Habari wakuu , naomba kuuliza swali kwa wataalamu wa jimologia kuhusu Diamond, waliosoma kuhusu diamond wanafahamu how diamond formation occur, kwenye high pressure and temperature.
Pia kwenye...
Wadau naomba ushaurii nahitaji kuendelea na Diploma nina Certificate ya Ualimu nilihitimu 2016. Sijafanikiwa bado kupata ajira serikalini naomba kuelekezwa kozi gani nzuri na chuo kipi kinafaa...
Habari,
Naombeni ushauri jaman mimi nilimaliza form 4, 2011 kwa ufaulu wa C flat za PCM na masomo mengine yote D sikuweza kuendelea na masomo kwa wakati ule kutokana na hali ya kimaisha...
Habari zenu wana JF? nisiwachoshe kama mnavyojua leo Baraza la Mitihani hapa nchini limetangaza matokeo ya kidato cha sita. Mungu ni Mwema mimi ni mmoja wa waliopokea matokeo hayo vizuri maana...
Ninauza vitabu vifuatavyo
Advanced review paper 1 2000-2012 10,000/=
Advanced Chemistry paper 2 2002-2014 shilingi 10,000/=
Conceptual Chemistry Volume 1 Class XII ya S. Chand shilingi 23,000/=...
Asilimia 100 ya wanafunzi wa ST Francis Girls Mbeya wamepata daraja la kwanza kwenye mtihani wa kidato cha nne matokeo yaliyotangazwa Leo tarehe 09/01/2019
Wanafunzi walikuwa 91 na wote wamepata...
Wasalaam!
Ufaulu:
Chemistry = S
Agriculture= D
Biology.= D
Div iii- 14
Kwa matokeo hayo hapo juu kozi gani inamfaa kusoma? Na kwanini iyo kozi? Na chuo gani anaweza chaguliwa Kwa...
Habari wanaJF,
Leo baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu nimeona ni vyema tuanzishe uzi huu maalumu ili tushauriane, tueleweshane, tuambiane...
Una ujumbe gani kwa wanafunzi wanao tarajia kuingia Vyuo Vikuu. Mimi ujumbe wangu " Mkasome, kwa bidii" huku mkijua maisha huko chuo, ni tofauti kabisa na ya huku mtaani.
Tumeona baada ya matokeo ya form six kutangazwa na shule nyingi za Serikali kuingia kwenye 10 bora, sasa wameibuka wanasiasa, wakijinasibu namna matokeo hayo yalivyopatikana, wengi wanasifia...
Niko chuo mwaka wa pili naingia watatu kumalizia degree yang nimegundua kuwa niko napenda course nyingine tena, and I can’t stop thinking about it, kwa hyo nauliza kama kuna uwezekano wa kuanza...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nina ndugu yangu alimaliza mwaka jana kidato cha sita mchepuo wa PCB na akapata matokeo ya dvn three point 13 akiwa na physics-E ...
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
Shalooom wote 👋🏼,
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wale wote waliomaliza KIDATO cha 6 na MATOKEO yao kutangazwa hapo Jana August 21 2020.
*Kitu cha kuzingatia kabla ya...
Habari, Matarsoft Company inatoa huduma ya kutengeza tovuti ya aina yoyote kwa bei rahisi. Bei yetu ni kuanzia laki moja na nusu (150,000 Tsh)
Mambo yanayopatikana katika huduma zetu.
1...
Habari zenu,
Tunafahamu kuwa guide book ya TCU imetoka 2020/2021 lakini kwa yeyote mwenye info kuhusu TCU wanafungua application lini za enrollment Degree Courses 2020/2021 tunaomba atueleze.
Habari wana, shikamooni wana jf,
Tumeona matokeo ya form six yametoka, bila kupoteza muda Naomba niende kwenye uzi moja kwa moja siasa tumwachie jiwe na kamati yake.
Naombeni ushauri wa utu...
Wakuu, Ninaombeni maelekezo kuhusu kufanya masters online kwa vyuo vya ulaya na marekani, Ni njia gani rahisi ya kufanya hivyo? Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu na hayo mambo.
Ni chuo gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.