Naomba kujuzwa kuhusu hii kozi ya Diploma in Meteorology au Bachelor in Meteorology, kuhusu upatikanaji wa ajira na soko lake kwa ujumla.
Pia ningependa kujua na ngazi za mishahara kwa wahitimu...
Mimi kama mwenyekiti wa huu mdahalo, Naomba kuchukua nafasi hii kuwakaribisha wadau wote wa JamiiForums ili tujadiliane kwa hoja juu ya hii tenzi tata isemayo, "elimu ni bora kuliko pesa"
Ni...
Jamani ndugu zangu habari zenu....
Samahanini sana naombeni msaada wenu sana nipo serious natafuta Chuo cha Afya kizuri Kwa maana wanafundisha vizuri. Nahitaji kusoma Clinical Medicine. Mwaka...
Mdau wa JF hebu to maoni yako kwa ufaulu huu akasomee kozi gani nzuri chuo?
History=C Biology=C Chemistry=C English=C Civics=C Kiswahili=C Geography=D Math=F
Division I I I. 22. Form Four...
Nimetengeneza profile ya maombi ya NACTE, pia gharama zote nimelipa za maombi. Sasa nahitaji kuomba kozi za ualimu diploma lakini sioni option ya elimu kwenye akaunti yangu.
Napata option moja tu...
Wadau,
Nilikuwa naomba ushauri wenu hii kozi imekaaje kwenye soko la ajira na pia uyu mtu anaye soma hii kozi akimaliza anaweza ajiliwa wapi, na pia nimeona sehemu moja tu inapotolewa hii kozi...
Wakuu naombeni utaratibu wa kufunga na kufunguliwa kwa vyuo mbalimbali vile vya kati na hivi vikuu kwa semester hii baada ya janga la COVID 19 kuharibu utaratibu
Habari za wakati huu wanajamii Wenzangu.
Mimi kama mmoja ya wadau wa elimu na masuala ya kijamii nina maono flani nataka kuyafikisha kwenu kwa ushauri na upembuzi zaidi.
Kwa nini serikali ama...
SONGWE: RC AWACHAPA VIBOKO WANAFUNZI 5 KWA TUHUMA ZA KUCHOMA BWENI
MKUU wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewachapa viboko wanafunzi 5 waliohusika katika tukio la kuchoma moto...
Habari wakubwa,
Hivi inawezekana mtu asome Diploma Mbili?
Ipo hivi kuna mdogo wangu alisomo Dodoma course fulani ya forensic science sasa inaonekana hyo course haina dili hapa mjini!. Sasa...
Habari wana JF,
Ninasoma bachelor degree ya education (Physics na Chemistry) but baada ya kugraduate nataka nikasome masters of business administration. Nina maswali kadha nitashukuru...
Kerosine have a range of 150-300deg centigrade of BP
Assume its BP is 147deg C on average
Hexane have 69deg C BP
Now i want to mix the two so i end up witn a composite of 110deg C BP
What ratios...
Wakuu hapa sasa kichwa kinaniuma kisawasawa cause wizara wamenizngua !
Je ni ipi kati ya hizo faculty yenye ugumu wa kusoma na na kuhusu suala la kujiajiri na...
Habari ndugu zangu. Mimi naomba mnijuze kati ya clinical medicine na medical laboratory ipi ni bora na yenye ajira kwa haraka. Na mishahara yake ipoje? Na je kama mtu akisoma certificate miaka...
Leo nashanga mwanangu anatoka shule ananiletea barua eti inatutaarifu wazazi kuwa kutokana na likizo ya corona, watakuwa wana masomo ya Jumamosi kuanzia saa mbili mpaka saa sita, hivyo tutalipia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.