Huyu jamaa alikuwa T.O mwaka 2014 advance.
Ila U T.O wako hakubahatisha kwa kuwa wahenga wanasema nyota njema huonekana asubuhi. Isaack alianza kuonesha Cheche zake tangu yupo shule ya msingi...
Habari.
Wagenzi ninaomba msaada wenu tafadhali, naomba mnijuze ni chuo gani kinatoa diploma ya ukuzaji mitaala (diploma in curriculum development) sifa za kujiunga (vigezo) na mambo yote ya...
habarn za leo,
ivi ule mfumo wa kuunganish cheti kwa wale wanao rudia mitihani bado upo au system imebadilishwa?
mf 2015 nimepata D moja,2016 nikapata D nyingine moja ,Je nawez kuunganisha ikawa...
Mchekie na mwenzako.
Mimi enzi hizo nilipata batch ya 6
Yaani draft ya sita tena100%
Chamsingi tu ni nidhamu ya boom ajira bado sana mpaka watumishi tuongezwe mishahara siyo kesho wala kesho kutwa...
Leo nakuja kivingine ka mwanamke wa kitanzania niliefundwa nikafundika iko changamoto kubwa nayo ni uelewa hafifu au hata tuseme ujinga katika uga wa mapenzi.
Migogoro mingi katika jamii ina-root...
Je, mwanafunzi aliemaliza kidato cha sita(6) na kufaulu vizuri BAM anavigezo vya kusoma courses zipi za Engineering?
Je anavigezo vya kusoma computer engineering?
Salaam wakuu,
Been long since tumemaliza shule ila back in days kuna masomo eg. History au Geog. (Geog II) advance na O-level kulikua na maswali ambayo points zake tulikua tunaziita yeboyebo...
Habari wakuu, nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nikapata div three ya point 23 yaan Civ C, Geog C, History C, English C, Bios C, Kiswahili C, Na Maths F. Baada ya hapo nilipangiwa chuo cha...
Habari za muda ndugu Wana jamvi,
Kama tunavozidi kushauriana kuhusiana na maswala mbalimbali ya kielimu kijana uyu anahitaji ushauri wa hali na mali ukizingatia ndo tunaelekea kwa kufunguliwa...
Wadau naomba ufafanuzi tafadhali
Nini maana Hons katika degree? Nje ya UD kuna chuo kinatoa? Vigezo vyake ni vipi? Chuo kina uwezo wa kumpokonya alumni wake degree?
WALIMU SHULE BINAFSI WALALAMIKA KUKOSA MISHAHARA KISA CORONA
Chama cha Walimu wa shule binafsii nchini TPTU kimeiomba serikali kuingilia kati suala la madai ya wamiliki wa baadhi ya shule binafsi...
katika fani ambazo zimejificha na siyo rahisi mtu kujua manufaa ya kusoma ni fani za Computer.
Zamani niliamini ya kwamba mtu hana haja ya kusomea Computer anaweza kujifunza kama vile ilivyo...
Nimejaribu kuuliza watu wengi hasa baada ya haya matokei ya form four wale waliofanikiwa kufaulu juu ya malengo yao ya baadae , asilimia kubwa wameniambia wanataka kuwa madaktari wa mifupa ...
Je, Mtu mwenye ufaulu huu Civ - C , Geo - C , Kisw - C , Eng - C , Chem - C , Bio - C , Phy - D , Math D , Hist - D anae 3 . 22 anaeza kwenda advance Government comb ya PCB 2020?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.