Waungwana msaada tafadhali kwa wale wanaosoma au waliosomea UDSM.
Kuna degree program inaitwa Project Planning and Management naipenda sana lakini napenda sana Chuo Kikuu Dar es salaam nauliza...
Hello JF,
Mnaonaje masomo ya degree(vyuoni) yaanze kufundishwa basics A level?
I believe mtu akisoma Advance then aksoma Diploma ama Degree ya somo hilo hilo, atakua na confidence hata...
Hivi kwa ufahuru wa hist C, kisw C, geo D ,civ D, engl C,bio D,math D division 3 ya 25 je huyu mtu anaweza kwenda kidato cha tano kwa combination ya HGE kwa shule za serikali kwa mwaka wa 2020...
Baada ya ugonjwa wa Covid 19 kulipuka duniani kote sector ya Elimu iliathirika pia. Shule zilifungwa.
Serikali ya Tanzania imefungua Vyuo na kidato cha sita. Kama Wazazi tuna Watoto wanasome...
Mwaka huu namalizia diploma yangu ya civil engineering Mungu akioenda. Malengo yangu niunganishe degree ya kozii hii, ila kwa online university huku nafanya kazi za civil engineering technician...
I am very glad to inform you that, this thread is just for all who need to help and be helped about English language related matters.
Students with questions from primary to A-level are warmly...
Nawasalimia wakuu!
Dunia ina mambo mengi mno ya kujifunza kiasi kwamba hakuna mtu anaweza kuyajua yote, hivyo basi, tangu binadamu anazaliwa, maisha yake yote amekuwa ni mtu wa kujifunza tu, hadi...
Wakuu Salaam,
Katika kupata kwangu elimu ya dunia level mbalimbali za kusoma sijawai kuongoza katika somo la hisabu ata nikijitaidi vipi sijawai kuongoza kuwa kinara wa marks katika somo hili...
Habari ya muda huu wadau, nahitaji kutumia Nota Bene (NB) Kwenye barua, kuna neno lake ambalo ni la Kiswahili pekee?.
Natanguliza shukurani zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
heshima kwenu wana Jamvi.
swali langu linajitosheleza.........!!!
naomba majibu nina Nephew wangu anashahada ya Uhandisi wa Civil udsm class of 2012 anataka kuwa mwalimu.
Niliwahi kufanya kazi kwa Mkufunzi mmoja wa UDSM, yeye hakuwa mwajiri wangu ifahamike. Yule Dr.jina mfukoni siku moja alianzisha mada sasa nikaamua kumsifia then nikampa challenge kidogo...
Wakuu naomba kuuliza chuo cha VETA Chang'ombe kilicho Dar es Salaam kuwa usajili unaanza lini kwenye long course ya umeme na wanachukua vigezo gani vya ufaulu kwenye course hiyo
Wakuu kwema?
Kwa wenye watoto wadogo miaka 2 mpaka 5 ni application gani nzuri unatumia kwa ajili ya mwanao? Kwa maana kwa zama hizi za tech mtoto huwezi kumzuia moja kwa moja kutumia simu kwa...
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa elimu kuhusiana na hii course ya computer engineering maana ninaona wengi humu JamiiForums na hata wanafunzi wanaosoma hawaielewi na wanaichanganya na IT...
Hii battle ilikuepo sana miaka ya nyuma speech ya wazili wa afya juzi kaja kuliibua tena baada ya kusema taifa lina upungufu wa wataalam wa *biotechnology and laboratory science* (hawa wanatoka...
Salamii Wana jukwaa kama kichwa kinavo jieleza apoo juu msaada tafadhali Kuna mdogo wangu kahitimu masomo yake ya kidato Cha sita mwaka Jana 2019/2020 kwa mchepuo wa CBG nakupata matokeo haya...
Wapendwa samahani habari za asubuhi, habari za muda huu?
Moja kwa moja naomba niende kwenye mada.
Mdogo wangu alifanya mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2016 lakini kwa bahati mbaya alipata credit...
Mwenye hiki kitabu tafadhali tunaomba pdf humu. Kinaitwa Everything You have told me is true.
Kuhusu mahusiano kati ya hili chapisho na kichwa cha habari tunaomba wenye kujua lugha kidogo asome...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.