Wakuu Habari
Leo nimeona nije na ushauri kidogo kuhusu Watanzania wanaotafuta scholarship za kwenda kusoma nje ya nchi au ndani ya nchi.
Nianze kwa kusema tu kupata scholarship ni bahati kama...
The new fodder for the tourism industry is education and related activities, for it fosters the feeling of love, understanding and goodwill. The role of tourism in education is highlighted by the...
Hii inashangaza sana.
Inakuaje wanafunzi wa vyuo vikuu wamekaa tu nyumbani na hawaendelei na masomo kisa korona!
Hii inawezekanaje?
Mnashindwa hata kufanya "online sessions"?
Yani prof yuko...
Habari wanajukwaa.
Napenda kuuliza kwa yeyote anaefahamu kuhusu entry requirement na vigezo vya mtu kusoma masters katika vyuo vyetu vya hapa TANZANIA kwa mwanafunzi aliemaliza degree ya kwanza...
Vyuo na kidato cha sita kufunguliwa Juni mosi na kwa kuwa COVID-19 imeathiri wazazi kiuchumi kwa baadhi ya wazazi ambao ni watumishi katika secta binafsi kusimamishwa kazi na wengine biashara zao...
Mimi ni A level student nilikuwa naomba mtu mwenye professional ya Chemist anipe facts kuhusu hii course and kama ni marketable and relevant field zake
Baada ya Mh. Rais Magufuli kutangaza wiki ijayo kufungua michezo na Vyuo,
Sasa tunakuomba Waziri Mama Ndalichako kutoa mwongozo na kutangaza tarehe rasmi ya kufungua vyuo.
Ili kutuwezesha wazazi...
Wakuu wa Vyuo mmesikia soon wanafunzi wanarejea. Mmejipangaje kuweka protection measures ikiwamo social distancing madarasani kujaa sana,vimbweta kila madarasa kuweka Maji na sabuni etc.
Inabidi...
Kwanza nipende kushukuru MUNGU kwa wakati wote ambao bado tuna pumzi, licha ya dunia kumbwa na maradhi ya COVID 19.
Leo ningependa tuzungumzie taaluma hii, MAMA WA TAALUMA ZOTE, ambapo imekuwa...
Wakuu,
Ili niweze kuwa rubani wa ndege napaswa kuchagua course ipi na chuo gani kizuri? But now nipo Advance na Combination ya masomo ninayosoma ni PGM yaani Physics, Geography & Mathematics...
There is no book...absolutely no book that has covered fully sylabus advance maths than UNDERSTANDABLE MATHS advanced level...
kwa wanafunzi wa hesabu mlioko katika jukwaa hili la elimu chukueni...
Kwa wadau wote wa elimu,mimi ni msimamizi ya taasisi ya elimu ya TANZANIA INTER-DEPENDENCE PRIMARY SCHOOLS EXAMINATION UNION
Tumeweza kubuni mbinu ya kuwasaidia watoto kipindi hiki cha corona...
habar ndugu zangu poleni na majukumu. Naomba kwa yeyote atakaye weza kunijulisha sehemu nitakapo Pata chuo cha kujifunza ufundi wa kusuka nywele mitindo yote za wadada pamoja na ushonaji wa nguo...
Habari.
1. Kwa nini unataka skolashipu -- hasa zile za kwenda nchi za nje?
NB: Bongo-michosho, natamani tu na mimi nikasome nje, eksipozjha, duh!, ni majibu ya waombaji kama wewe 28,715.
2. Kwa...
Elimu ya kikoloni imeua ubunifu na imedumaza akili za watu unalazimishwa kukariri mawazo ya watu katika miongo mitatu ya maisha yako! Unalazimishwa kuyafanyia kazi mawazo ya watu for the rest of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.