Habari,
Naomba kufahamu ni kwanini mara nyingi ukiangalia picha zilizopo katika vyeti vya kitaaluma hasa vile vinavyotolewa na NECTA Form 4 na Form 6, zinakuwa mbaya kiasi kwamba kama hukumbuki...
Wilya ya chemba-Dodoma ina uhaba wa walimu wa shule za msingi na sekondari.kumekuwa na vyuo vingi vya elimu mkoani hapa na kwingineko lakini hakuna mwamko kwa wanavyuo kufanya field ndani ya...
Habar za muda huu, naomba msaada kwa atakayeweza kunisaidia namna ya kumfundisha mwanafunzi namna ya kuandika HERUFI K, mwanafunzi huko ni wa awali (nussery school).
Naamini humu kuna walimu wa...
Wakuu..
Ni masomo gani ambayo mtu mwenye bachelor degree ya accounting kutoka recognized institution hapa tanzania anapaswa kuyafanyia mtihani ili aweze kupata cpa(t) kupitia bodi ya nbaa...
*I find this to be Very interesting and meaningful message 2 share*:-
```IF:
A = 1
B = 2
C = 3
D = 4;
E = 5
F = 6;
G = 7
H = 8;
I = 9
J = 10
K = 11
L = 12
M = 13
N = 14
O = 15
P = 16
Q...
Habari zenu wanajamvi, poleni kwa uchovu wa mihangaiko ya maisha. Naandika uzi huu nikiomba anayejua anipe ufafanuzi, Suala ni kwamba mtu anayesoma VETA anaweza kuja kusoma certificate (yaani...
Habari zenu wadau,
Naombeni msaada kujua. Kozi tajwa hapo juu ukisoma unaweza kufanya kazi ya magement? Naamanisha unaweza kuajiriwa kazi nyingine nje ya ualimu? Ajira zake ni zipi? Umuhumu wake...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha...
Aisee mkoa wa Iringa kielimu nao si haba kwa nyanda za juu kusini
Miaka hyo ilianzishwa Mufindi Education Trust (MET) ambayo ilikuwa chini ya marehemu Mbunge na Waziri wa zamani wa Elimu JJ Mungai...
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye...
Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University kimezindua programu ya kufundisha lugha ya kiswahili. Aidha, chuo hicho kimezindua Centre for East African Studies. Afisa Ubalozi Ndugu...
Ndugu zangu naomba kufahamu kozi hizi zifuatazo kwa ajili ya certificate in ICT, Computer science & Computer maintenance ipi ni nzuri na ipi ina soko? Tafadhalini naombeni msaada.
Habari wana JF,
Mimi ni kijana na nina Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji ( Diploma in Animal health and production).
Matamanio yangu mwaka 2020 ni kusoma kozi ya Wildlife tourism...
Habari wana jamii leo ningependa kushukuru sana maana kiukweli ni vingi nilikuwa sijui ila kupitia jukwaa hili nimejifunza mengi.
Sasa ndugu zangu leo napenda tushare maneno mazuri na kutia moyo...
Wasalaam! heshima kwenu,naomba msaada wa maelekezo niweze kufika katika Ofisi za ERB (Engineers Registration Board).Nikiwa Dar es Salaam natokea Ukonga-Banana ndiyo starting point yangu.Nashukuru...
"Galanos school penda watoto....twakupenda twakusifu!.." mnaukumbuka huo wimbo?, Headmaster alikua T. Z. KINALA, namkumbuka sana mwl wa michezo Msocha. Tulikuwa tukitoroka tunaenda disco Club...
Hello wadau,naomba yeyote mwenye details za Chuo cha ardhi Morogoro kwa ngazi ya Diploma anisaidie kunipatia ikiwa ni pamoja na kozi wanazofundisha na ikiwezekana garama yaani ada pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.