Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari ya asubuhi wadau. Kuna dogo mmoja kahitimu kidato cha nne 2019. Alifaulu ana Div 3.24. kanitumia ujumbe mfupi akisema kwamba baba ake katumiwa umeseji kwamba mtoto wake kachaguliwa chuo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Some Calculus solutions presented here (please see the PDF attachment below) are alternative corrected solutions from the Math24 website. The original solutions from the website appear as were...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekua nikifanya kazi katika cafe flani mjini nimekua nashangazwa sana na hi bodi ya commission of university ya nyumbani apa ambayo wengi pia hawaelewi ni nini iki kinafanyika na hio bodi cha 1-...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Nna mdogo wangu kamalza f4 last year. Alipata alama c masomo yote 9 ...eti kati ya kwenda advance na kwenda chuo bora aende wap... mnisaidie mawazo Maana selfom Tamisemi wameshafungua dilisha la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada kwa mwenye soft copy Topic ya plate tectonics theory Geography A level nimfuate pm nitampa email a nitumie asante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Kimsingi me nasafer sana kuhusu uhamisho Wa watumishi aliye karbu nao lini majina yatatoka waliokamilisha taratibu.
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Natanguliza shukurani; Mimi n mhitimu wa diploma in secondary Education 2018 katika masomo ya chemistry na biology; ad sasa sija ajiriwa ila nimepanga mwaka huu nikasome degree ila nahitaji msaada...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
/Hello JF, Nimeupitia huu uzi Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome? Tatizo la ajira limekua changamoto kwa wengi, courses hazijawa kuwa za faida kwa wasomi wengi....na...
12 Reactions
21 Replies
3K Views
Serikali ya awamu ya tano imekuja na sera ya elimu bure, lakini Hali imekuwa tofauti kabisa. Katika tarafa ya lupembe Kijiji cha Wanginyi wananchi wanachangia fedha ya kuwalipa walimu wa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari Wana bodi leo nimesikitishwa Sana na vitendo vinavyoendelea vya hovyo hapa chuoni na vinafanywa na walimu wa sheria bila Dean of Faculty kukemea Wala kuzuia. Watu tumepewa likizo na chuo...
1 Reactions
64 Replies
10K Views
Habari wakuu!, Katika msimu huu wa Corona watoto wamekaa tu majumbani material yanazidi kupotea kichwani. Naomba mwenye video za watoto kujifunzia ashee hapa ili tupakue na kuziweka kwenye flash...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya wanajamvi. Natumai mapambano yanaendelea kama kawaida. Nina ndugu yangu alimaliza kidato cha nne mwaka 2010 ila kwa bahati mbaya mambo yalienda kombo, alipata Div IV ya 29...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu wakuu., Binafsi ningependekeza elimu ya ufundi iangaliwe kwa namna ya kipekee, Isiwe private option ila iwe kwenye mtiririko wa uchaguzi wa kusomea, Kisha ningejenga vyuo vingi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jamii Mwenye joining instruction ya chuo tajwa,2017/2018 kwa watu wenye ufadhili wa serikali cerificate ya General Agriculture, naiomba
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Kuna vifupi wadau wanavitumia humu ndani kama..MMU, JP/JM mi wananiacha kila wanapotumia hivyo sababu saa nyingne ujumbe wote upo ndani ya hivyo vifupi! nielewesheni wana-jamii forums
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Kuna mdogo wangu kamaliza Degree ya maabara mwaka jana, anatafuta course ya Masters nzuri nje ya nchi. Je, asome course gani ambayo ni marketable now? Unaweza kupata scholarship? Ushauri wenu...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Naomba kufahamu juu ya kozi ya procurement and transport Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Nimeenda leo ofisi za necta kusajili vyeti. Nimepokewa reception na nikaeaomba nahitaji kumuona mhusika anaeshughulikia masuala ya usajili vyeti. Majibu ya reception nimeambiwa mhusika hayupo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Kwa wenye ufahamu juu ya kozi ya Bachelor Degree in Economics of Development . Naomben msaada kuhusiana na mambo ya fuatayo:- i) umuhimu wake kwa nyakati hizi ii) ubora na udhaifu wake...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ndugu wana jamvi mimi ni muitim wa olevel mwaka huu, nlikuw nataka nipige cbg ili badae nije nisome coz ya laboratory technician, sasa kuna mtu ameniambia kuwa kwa sasa mwanafunzi aluesima cbg...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom