Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nimeona watu waliosoma shule tofauti tofauti mfano minaki. Wanajadili, na sisi tuliosoma Ndanda boys tukutane Wikiend hii apa japo tukumbushane matukio na ubora wa shule yetu kongwe kule...
3 Reactions
40 Replies
8K Views
Habarini, Ningependa kufahamishwa juu ya taratibu za uhakiki wa vyeti kwa wahitimu waliomaliza nje ya Tanzania, sababu wengi wanasema wamekwenda direct TCU pale, lakini kwenye website ya TCU...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jioni. Naomba msaada ili niweze kufahau juu ya suala hili. Kuna uwezekano wa mwanafunzi ya ngazi ya cheti kwa upande wa vyuo vya sheria kujiunga na chuo .january hii? Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada mwenye matokeo ya kidato cha cha pili anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Heri ya mwaka mpya. Kama mzazi, nawiwa kukinzana na ulazima wa mzazi kununua uniform za shule kwenye shule ambayo mtoto amepata nafasi tena kwa bei kubwa. Kwa wale wazazi au walezi ambao...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, naombeni msaada, natafuta nursery school au daycare nzuri yenye gharama nafuu, kwa maeneo ya Sinza, Mwenge, Kijitonyama na Makumbusho kwa ajili ya kumpeleka mtoto mwenye umri wa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Natafuta scheme of work za somo la geography kuanzia kidato cha 1-4 na geography ii ya A level. Scheme iwe soft au hard copy. kama kuna aloyenazo au anafahamu stationery zinakopatikana ama...
1 Reactions
34 Replies
8K Views
Habarini waungwana! Mimi ni mwalimu (certificate holder) Nina nia ya kujiendeleza zaidi ya hapa nilipo na natamani sana nisomee "ukaguzi wa shule" kwa kuanza na diploma! Je diploma hii...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari wakuu, Naomba mwalimu au mtu yoyote mwenye notes za Shule za Msingi hususani English medium zilizo kwenye mfumo wa Soft Copy, Word Document au PDF anicheki PM tufanye biashara. Au atume...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari wandugu, kwa yeyote yule ambae amewahi kupata scholarship ya Ujerumani kupitia DAAD Scholarship naombeni msaada nami nijaribu kuomba. nitashukuru kwa mawazo yenu.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Imekuwa ni kama kawaida shule nyingi za boarding vitanda kuwa na kunguni. Hawa vijana wakija likizo wanatuachia majumbani hawa wadudu. Walimu angalieni namna mnavyowezakuwasaidia kuua hawa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wakuu poleni na majukumu naomba kaka zangu na dada zangu mnisaidie ni kozi gani inalipa ya kusoma hasa ktk geography na ndoto za kwenda shule kusoma masters next year naomba msaada anayejua...
1 Reactions
10 Replies
38K Views
MUHTASARI MPYA WA ELIMU HAUNA MADA WALA MALENGO Muhtasari mpya kwa ajili ya kufundishia elimu msingi darasa la I - VI una kasoro nyingi. Muhtasari huo ukiruhusiwa utumike, elimu ya Tanzania...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wale wa Dodoma mnaohitaji ACCA/ CPA karibuni sana. We are full time available for teaching services.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
wakuu habari za siku, nina ndugu yangu anataka kuendelea na elimu ya juu kwa ngazi ya shahada ya uzamili (masters). katika moja ya nchi za Bara la Ulaya na angependa kufahamu maana halisi ya hii...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Wakuu habari za muda huu, Naomba kujuzwa ada kwa wanafunzi wa O Level especially form one ni kiasi gani kwa sasa. Shule inaitwa Msolwa Secondary ipo Kilombero Morogoro. Kwa anayejua tafadhali...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Napitia historia yake kwenye kitabu alichoandika japo sijakimaliza ila nagundua Mkapa 1. Ni mmoja miongoni mwa wapigania uhuru waliokuwa mstari wa mbele tangu akiwa kijana. 2. Alifaulu masomo ya...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Heri ya mwaka mpya kwenu nyote. Katika mambo mengi ambayo nimefanya kibiashara na kikazi (maana nimeajiriwa pia) mengi nimejikuta nikifail, hasa katika biashara kwa sababu ya kukosa ujuzi na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani mimi niombe mniainishie mbinu za kukabiliana na hii new format ya NECTA form 6 haswa kwa mchepuo wa PCB Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mwenye taarifa naomba anijulishe, maana nipo kijijini sana hata Whatsapp hamna
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom