Wasalaam
Nina mdogo wangu kapata Division 3 lakini ana C ya physics, Chemistry na Biology
Nataka afanye Diploma ya course za afya
Naomba ushauri juu ya vyuo na course nzuri
Asanteni
Sent...
Kwa sasa ni ngumu sana kupredict feature, feature inabadilika kwa speed kari sana. Enzi tunasoma sisi tulikuwa tunahamasishwa tusome tuje kupata kazi nzuri na kweli ilikuwa hivyo na tulisoma...
Mhe Waziri nashauri muingize kwenye mitaala,
1. Elimu ya huduma ya kwanza
Elimu ya huduma ya kwanza mfano je mtu akitoka damu puani afanywe nini. Mtu akivunjika mkono afanywe nini. Mtu aliyeungua...
Great Thinkers,
Nakumbuka enzi zetu heshima ilikuwa kusoma shule za serikali.
Pamoja na uwepo wa shule za binafsi, wazazi wenye uwezo walihangaika kuhonga watoto wao wasome shule za serikali...
Evidence: Kwanini mikoa inayofanya vibaya kwenye elimu ndiyo inayopendwa na CCM?
---------------------------------
Mikoa 10 iliyofanya vizuri zaidi katika mtihani wa kidato cha pili 2018;
Arusha...
Kuna post nyingi kuhusu kutafuta shule ninaamini ni jambo muhimu kwa kila mzazi.
Ningependa uzi huu ndio uwe kimbilio la wengi kama unafahamu shule yoyote nzuri mkoa wowote mwaga sera zake hapa...
Nilikua na mpango wa kusoma kombi zenye Physics lakini matokeo yamekuja vibaya kwa hili naombeni msaada
Matokeo yangu ni Phys-F, Civ-D, Chem-D, Math-C, Bio-C, Geo-C, Hist-C, Eng-C, Kisw-C...
Nauliza kurudishwa nyuma darasa shule ya msingi kisa mwanafunzi haijafikia average imekaaje?
Sheria inaruhusu?
Shule za kulipia hata hizi serikali hii inaruhusiwa?
Je hiyo average serikali...
Heri ya mwaka mpya kwa wote!
Msaada mwenye kujua shule ya private, iwe ya kulala huko, mchepuo CBG kidato cha tano.
Nina ndugu anahitaji kuhamia katika shule yenye vigezo tajwa hapo juu. Mwenye...
Jamani nahitaji msaada wenu juu ya hill jambo nacte wanihamisha na kunipeleka chuo kingine tatizo no kwamba chuo ninachotoka hawataki tuondoke
Nilifikiria kitu kimoja nitoroke tu niende chuo...
hiki chuo uongoz wake n udikteta mtupu
principle n majanga tu hasikilizi ushauri wa mtu yeyote c walmu wake
serikari ya wanafunz wa chuo hawackilizwi
uksema unatishiwa kufukuzwa chuo...
Na imani wazima ndugu zanguni.
Kama kichwa cha habari Hapo juu kinavyojieleza. Nimepata taarifa kuwa Matokeo hayo yametoka tangu mwaka mpya. Lakini nimeangalia sehemu mbali mbali ikiwemo blogs na...
Ndugu wana taaluma idara ya elimu habari za asubuhi,
Naomba mwenye tetesi au lini matokeo ya hawa vijana yanatoka lini maana humu JF kuna watu wapo kwenye Baraza la Mitihani la Tanzania na...
Wanabodi chaliii wangu ananiumiza kichwa kinyama, May mwaka huu anatimiza 18 yrs. Uwezo wake kimasomo tangia primary kiukweli ulikuwa mdogo sana hivyo nilimkaririsha mara nyingi nikadhani ange...
Jamani napenda kuuliza kama Mount Meru University ina valid and reliable website? Maana inakuwa online siku tatu kisha mwezi mzima offline. Na hiki huo ubora wa elimu kina ubora gani ikiwa hata...
Matokeo yangu ya form four PCB (CCB) na math D naihitaji nikasome clinical medicine diploma mwenyekujua chuo chabinafsi kwa ada ya unafuu kidogo
Natanguliza shukrani
Salaam wakuu
Habari za miangaiko ndugu zangu,kuna hili suala la shule za serikali hasa za kidato cha tano na sita kuamua bila kuzingatia kipato cha wazazi kuweka michango mingi isiyokuwa na...
Wana jukwaa
Naomba mnisaidie faida na hasara za kuajiliwa na jeshi kwa wahitimu wa vyuo.
Me nimemaliza diploma ya engineering mwaka jana na siku chache zimetoka nafasi za kujiunga na jeshi nafasi...
Mkuu wa mkoa wa ARUSHA bado yuko ndani ya gari lake ndani ya chuo cha uhasibu anasikiliza mziki huku akitikisa kichwa akiimba kwa mluzi kuonyesha kwamba hajali.
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi 62 za ufadhili wa masomo kwa shahada za awali (Undergraduate, Nafasi 52) na shahada za umahiri (Masters nafasi 10). Kwa maelezo zaidi angalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.