Yawezekana unasoma sana lakini matokeo yakitoka hutamani rafiki au hata wazazi wako wajue kile ulichopata au unafanya vizuri darasani na mitihani ya kawaida lakini inapofika muda wa kufanya...
Laurent Simons, a 9-year-old boy from Belgium, is set to graduate with an undergraduate degree in Electrical Engineering next month.
He is currently enrolled at the Eindhoven University of...
Ndugu zangu naomba msaada na ushauri wenu katika hili,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology. Napenda sana kusoma maana maisha yangu yanategemea sana elimu. Lengo...
Laurent Simons anasoma Uhandisi wa Umeme katika Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Eindhoven huko Uholanzi, na ana umri wa miaka 9.
Yuko tayari kumaliza digrii yake mwaka huu na kisha amepanga kuanza...
Habari ya muda huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni mwanafunzi nipo chuo fulani hapa nchini kwa sasa nipo mwaka wa nne nasomea ufamasia.
Kutokana nipo chuo cha private na mkopo...
Kwa wale ambao Mnataka kujua chochote kuhusu mwenge catholic university ulizeni hapa niwajibu hasa wale walioona selection zao kuwa wamechaguliwa hapo na ambao bado mnasubiri selection kama hiki...
Naitwa Kapena. Nipo Dar es Salaam.
Ni mwanafunzi wa Masters ambaye week ijayo natakiwa ku-submit Masters Thesis/Dissertation yangu for examination purposes. Hivyo, natafuta mtu anifanyie English...
Hii imetokea jana tar.11/11/2019 wakati wa mtihani wa taifa wa kidato cha nne ktk shule moja ya sekondari Wilayani Karagwe Kagera.
Wadau saidia na naomba maoni katika hili:
Wanafunzi wa kidato cha...
Habari wana JF
Nimeikuta List hii somewhere, nafikiri ni useful kidogo kwa wale wenye watoto wanaotaka kuwapeleka A-Level.
Jina la shule, mkoa uliopo na COMBINATIONS zake.
SHULE ZA A-LEVEL NA...
Za muda huu wadau,
Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa anayejua chuo ambacho kinatoa kozi za Graphics kwa mfumo wa kozi pekee au kwa mfumo wa short course naomba aniambie. Kama itawezekana...
Wakuu, ni wazi kwamba wapo wanafunzi wengi ambao walitarajia kujiunga na masomo ya elimu ya juu mwaka huu ila wameshindwa kutokana na kukosa mkopo kutoka HESLB na pia kutokuwa na uwezo wa...
Kenya Certificate of Primary Education (KCPE) 2019 results will be out before 25th December, as the Cabinet Secretary for Education, Prof. George Magoha has confirmed. KCPE Results 2019 Release Date
Ninatarajia kuomba Diploma in Clinical Medicine katika vyuo vifuatavyo: Lugalo Military Medical College, Kibaha College of Health and Allied Science, AMO KCMC.
Ufaulu wangu ni kama ifuatavyo...
Wana JF habarini!
Kwa niaba ya Walimu, napenda kujulishwa utaratibu wa malipo uliotumika katika mitihani ya NECTA inayoendelea sasa (form IV & II).
Kuna sintofahamu zimeibuka kutoka baadhi ya...
Habari wadau, natumaini wote ni wazima wa afya.
Hadi kufikia sasa, ni wanafunzi wengi sana tayari wamekatishwa tamaa ya kusoma. Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) ni tegemezi pekee la walio...
Wakuu habari zenu, natumai mnamalizia mapumziko ya wiki vyema.
Naomba msaada wa mwanafunzi yoyote aliepo Chuo cha Ushirika Moshi. Nategemea kuanza Masters hapo ila nipo Zanzibar na sina jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.