Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada ni hopefully wote ni wazima. Kuna hivi vituo vya warudia mitihani (Risitters) Elimu ya O’Level miaka miwili A’level mwaka mmoja. Au kama unataka kurudia...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Hakika hiki chuo cha SAUT Mwanza wamenikatisha tamaa ya kuendelea na masomo, naombeni mnishauri nifanye vipi hapa. Ipo hivi, toka 2015 nimejiunga degree ya ualimu, kuna masomo ambayo hayana unit...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nadhani ile kauli ya kusoma sio kuelimika inawezajidhihirisha kwenye hiki chuo cha DIT maana ni chuo kinaongozwa na wasomi wa PhD ila kinaendeshwa kienyeji sana. Kwanza wanauhaba sana wa walimu...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakubwa naomba kuwasilisha hii inisaidie mimi na wadau wengine wanaopenda kujua juu ya habari ya Scholarship haswa zinazotolewa nje ya nchi yetu. 1. Vigezo vyake vimekaaje? 2. Jinsi ya kuapply
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Hivi ni kweli kuwa uhamisho umefunguliwa kwani napata tetesi tu na ktk web ya Tamisemi hakuna tangazo
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Mfumo wa elimu wa vyuo vikuu umegubikwa na rushwa na degree za ngono hivyo kupelekea kuzalisha wahitimu wenye uwezo mdogo. Hili tatizo ni kukosekana kwa mfumo wa bodi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu mwl naomba usaidie kurekebisha Alama hizi za somo 1. 45 2. 60 3. 70 4. 30 5. 89 kumbuka kuonesha njia. Ahsanteni.
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Naomba wadau msome hii paper mwanzo mpaka mwisho na kisha mtoe maoni kwa wahusika.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HELSB) inatarajia kufungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi waliokosa mikopo pamoja na wale wanaohisi kupata asilimia kidogo kwenye awamu zilizopita...
0 Reactions
86 Replies
13K Views
Wadau ningependa kujua tofauti ya fani hizo mbali nini? Tofauti yake na sifa za kujiunga ni zipi?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau wa elimu naomba msaada. Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia? Mwanangu kaja na kunisimulia.
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Wadau nimerudi tena baada ya post Mambo manne ya kuzingatia wakati wa kuomba scholarship sasa napenda kuwafahamisha wale waliokuwa wananiuliza maswali kuhusu Language proficiency Test , Naam iko...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
WAY TO ABROAD PROGRAM Are you finding Scholarship?......Are you aware that English Language Proficiency Certificate of whether TOEFL or IELTS is important criteria to win various scholarships...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Wana jukwaa la Elimu, kheri ya Mwaka Mpya!! Mimi ni kijana mwenye matamanio ya kusoma mpaka kiwango cha Masters au mpaka PhD, naomba kusaidiwa mawazo ya namna ya kupata udhamini wa kuweza...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Jana natokea zangu chuo niko kwenye daladala ya Tegeta pembeni kuna mtoto mkali akapigiwa simu kwa maelezo niliyosikia kwa upande mmoja ni kuwa huyu binti alifanya mtihani wa Supplementary matokeo...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha Serikali imesema kuwa wanafunzi waliopunjwa na wale waliokosa mikopo inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
On the surface, universities are a nice idea. You go in, pick a subject you like, learn from the experts, and leave being job- and future-ready. This is why so many people (around 40% in rich...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe, naomba jamani mwenye notice Criminal Procedure.
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Habari wana JF naomba mnielezee haya maelezo kutoka bodi ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu Tanzania MODE OF PAYMENT MAY EXAMINATIONS NOVEMBER EXAMINATIONS Payment with 50% penalty 16th February –...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari Wakuu nina mdogo wangu anataka kufanya class review ya ATEC II, kwa Dar Es Salaam ni centre ipi itakuwa poa kwake kati ya Covenant na cornerstone?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom