Mimi ni mtanzania, ninayesomea hapa India kwa ufadhili wa ICCR!
SIFICHI huu ufadhili ni mzuri. Tatizo chuo nilichopo hapa na hasa idra niliyopo haina walimu kabisa kiasi kwamba wanafunzi...
Mdogo wangu alidahilwai chuo hiki kwa kozi ya Usimamizi wa Wanyamapori, binafsi nilipenda mdogo wangu awe huru juu ya kile ambacho angependa kusomea, ila sikuwahi kuwa na habari nyingi kuhusu...
Mama yangu mdogo ni mwalimu amechaguliwa chuo cha ADEM tawi la Mbeya kujiendeleza Kozi ya DEMA.
Ningependa kujua A-Z kadri ya uelewa wako juu ya Chuo hiki hasa mahali kilipo hapo Mbeya, Hosteli...
Habari za huku
Jamani eti pdf reader gani nzur kwa simu ambayo ina option ya kusearch majina kwa urahisi ya kwenye pdf format?
Yaani natumia wps hapa haina option ya kusearch mfano majina kwa...
What are the most popular Universities in Tanzania? uniRank tries to answer this question by publishing the 2020 Tanzanian University Ranking of 32 Tanzanian higher-education institutions meeting...
Nimesoma tangazo la NBAA kuhusu fees wanazotakiwa kucharge Auditing firms wanapofanya kazi kwa Mteja wao.
Ambacho sijakielewa ni Rank za External Auditor kama ifuatavyo.
1.Partner
2.Senior...
Kwa waliosomea CBG ni kozi gani nzuri kwa sasa ya kusomea, najua hali inaweza kubadilika wakati wowote ila ni vyema mngetueleza kama ungemaliza CBG ni kozi gani ungeisomea kwa sasa.
Habari zenu wakuu!,
mimi ni muathirika wa ddnt secure 4 loan allocation for this academic season, najua wanajamvi humu ndani mpo mlioexist miaka mi3 bila loan, nnaomba mchango wenu ktk hili...
Hivi kuna tatizo gani kati ya hivi vyama viwili? Nauliza serikali kwa sababu watumishi hasa waalimu tuliojiunga na CHAKAMWATA tumekua tukikatwa na vyama vyote viwili isitoshe C. W. T imekua...
Habari kama kuna member yoyote aliyesoma hii kozi kuna kijana anaomba ushauri anataka kuapply pale DIT, au hata kama unamjua aliyesoma ,je ni kozi yenye future nzuri?
Habari wanaJF;
Naomba ushauri, nimemaliza kidato cha sita 2015 ila sikwenda chuo. Sasa nahitaji kuapply mwaka huu. Napenda sana biashara, ni kozi gani nzuri ya kwenda kusoma?
Nawasilisha.
Ajabu LA 9 la Dunia. Degree programme moja (LLB), nchi moja, wote wanakutana Law school moja ila baadhi LLB ni miaka 4 (UDSM) vyuo vikuu vingine 3 years? Msaada hapa Ili tuweze kwenda sawa
Hivi ni kweli udogo wa mishahara na ufinyu wa ajira kwa walimu wa sanaa (arts), ndizo sababu pekee hupelekea
Watu kuibeza na kuichukulia poa taaluma ya ualimu?
Au kuna sababu nyingine nyuma ya...
Wakuu habari ya asubuhi poleni kwa majukumu.
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,mdogo wangu niliyekuwa namuombea mkopo amekumbwa na dhoruba hiyo hapo juu..
Alisherekea na wazazi walikuwa na...
Wakuu naomba kwa yeyote aliye na kitabu au Pamplet lenye muunganiko wa Notes zote za advanced Mathematics kwa pamoja anisaidie hata kama anauza ntanunua! Au aniPM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.