Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
https://www.out.ac.tz/wp-content/uploads/2019/09/OFP-Approved-Applicants-for-201920-round-1-and-2-for-website.pdf
2 Reactions
0 Replies
3K Views
https://www.out.ac.tz/wp-content/uploads/2019/09/OFP-Approved-Applicants-for-201920-round-1-and-2-for-website.pdf
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wadau,naomba mdau aliye na ufahamu kuhusu uzito wa kozi hii ikiwa mtu ataisoma kwa distance learning. Naomba ushauri wadau.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habarini wana JF nimechaguliwa NIT automobile ila ninataka kubadili nisome mechanical engineering kwa sababu siijui vizuri automobile naombeni ushauri wenu ipi kati ya hizo mbili ni nzuri na ina...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu natokea moja ya mikoa ya Kaskazin Nina mdogo wangu kapangiwa mambo ya Agriculture general kule uyole mwenye contact au namna ya kupata join instruction msaada wako kwani kwenye network sioni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Haijalishi mnaoenda vyuoni mnaenda kusoma nini, kama ni engineering field, au Health field, au business field, au kada yeyote, jamii inahitaji output ya ulichoenda kusomea na sio umesomea nini...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Naam nilikua napitia katika website ya nacte http://41.93.40.134:8080/noavs/Closed.jsp nimekuta kuna ujumbe wa msisitizo unaosomeka hivi Kindly be informed that admission cycle for academic year...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna vijana wengi waliomaliza Form 4 ambao sasa ndio wanakwenda kuanza masomo yao ya Certificate in Information and Communication Technology (ICT). Wengine wao hata uhakika na kile...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana Jf mimi ni first year tarajali na nmekosa mkopo je nifanyeje ili nihamie Chuo kilicho karibu na home ili familia ikasimamie show kwenye ada na mahitaji yangu mengine nikiwa chuo.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa 1st year MUHAS naomba mwenye majina ya waliopangwa CHOLE hostel anisaidie
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wana JF, natumai mu wazima.. Bila ya kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye topic. Naombeni ushauri ni course gani nzuri ya kusoma kati ya hizi. 1.Auto-electronics & Electronics...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na vijana wengi kushindwa kuendelea na masomo, au kusoma katika mazingira magumu ya kukosa vitendea kazi, baadhi ya vijana wa kitanzania wameamua kuanzisha foundation hii 'Flying Bird...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Hey! Hope ni wazima, We all know imebaki miezi miwili mwaka kuisha. So from january up to this month october. Umejifunza nini? Just sema chochote kama umepata experience au changamoto au chochote...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za jioni wanajf....bodi ya mikopo ya elimu ya juu leo hii imetangaza majina ya wanufaika wa awamu ya kwanza ( 1 batch ) ...wa mikopo hiyo...taarifa hiyo imetolewa na kurugenzi ya bodi...
0 Reactions
141 Replies
28K Views
Hii ni kwa wadogo zangu wanaotegemea kuanza kusoma vyuoni. Kwanza nianze kwa kuwapongeza kuchaguliwa katika vyuo mbalimbali. Maana ni wengi walitamani kufikia hatua mliyopo ila kutokana na...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Nina admission za Masters Degree katika Course zifuatazo Naomba ushauri ipi nisome yenye opportunity kubwa >>Masters of Science in Chemistry-UDSM >>Masters of Science in Public Health-Hubert...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Kuanzia Tarahe 5 November 2020 tutakua na mafunzo katika kufanya Utambuzi wa Awali na Afua za Mapema (Early Intervention and Identification) na kujua namna ya kuwaendeleza (planning better...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu, Wataalamu wa kodi (Tax) na wenye uelewa wa mambo haya, naomba kupata mapendekezo (recommendations ya vitabu vinavyohusu mambo ya kodi, ambavyo ni rahisi kueleweka kwa mtu asiye na...
0 Reactions
2 Replies
929 Views
Nacte tarehe 10/8/2019 hilitoa luhusa ya kuhama kozi mimi nilihama korongwe teacher college nkaenda MUST hivi ukiama unakuwa bado government sponsorship au private sponsorship
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom