Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Biology is the branch of science which deal with the study of living things and life. types of biology 1-botany 2-zoology -botany, is the study of plants. -zoology, is the study of...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Habarini wakuu.nimekuja na Uzi huu,lengo ni kupata mawazo yenu nyie kama wadau wa elimu kuhusiana na ubora wa degree ya Sheria katika chuo kikuu cha ushirika moshi (MoCU).kulinganisha na vyuo...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Naomba kujua utofauti na ubora wa kozi za sheria kwa LLB ya UDSM na Tumaini Mkumira kwa ubora, soko ajira na ukubalikaji wake..
0 Reactions
109 Replies
12K Views
Nina Diploma ya International relations and diplomacy Nina GPA 2.7 Je naweza kupata scholarship ya kusoma Australia nataka kusoma Social work degree. Kwa wenye ufahamu tafadhali naomba msaada.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Read the following poem and then answer the questions that follow: EAT MORE By Joe Corrie Eat more fruit! The slogan say, ‘More fish, more beef, more bread!’ But I’m on Unemployment more pay My...
3 Reactions
27 Replies
38K Views
Kwa niaba ya wananchi wanyonge na wenye kipato cha chini naomba nitokwe na maoni yangu juu ya mchakato uliopo bodi ya mikopo tokea hatua ya kuomba mkopo hadi kuja kupata matokeo kuwa umepata mkopo...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF, Mm nimechaguliwa chuo cha biashara na elimu (CBE) campus ya dodoma. Mwenye kulifaham naomba anijuze tafadhali[emoji122]
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Za wakati huu members wote, Kwa mujibu wa TCU Guide book 2019/20 *5th November to 15th November :Transfer window for first year *16th November to 30th November : Submission of transfers to TCU...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Nina dogo kamaliza form four na amebahatika kuchaguliwa Singida College of Health and Technology. Naomba anaweza kunipatia joining instruction ya chuo hiki hata ya mwaka Jana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Majina hayo
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Mdogo wangu ana Three ya 13 ya CBG tunaweza kupata wapi chuo cha diploma course yoyote ya afya
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Naomba mnisaidie samahani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vipi wadau loan board wameshatoa majina ya 2019/20?
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Hayo majina wanataka wakafanyie show wapi sasa mbona kimya kingi sana.... Duh!
0 Reactions
5 Replies
807 Views
Tusaidiane kupeana taarifa maana nimeona wametangaza wanufaika wa mkopo round ya kwanza Mbona naangalia majina sioni?? Au yanapatikana wapi? Na kama hawajatoa Basi mwenye taarifa wanatoa lini?
0 Reactions
3 Replies
934 Views
Ndugu zangu naomba msaada. Mwanangu amepata wastani wa alama D, na sijui kama anaweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ama la .
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Nimesoma thread za baadhi ya wanafunzi waliochaguliwa SUA kuulizia taratibu za kubadilisha kozi walizochaguliwa. Ukweli ni kuwa kozi nyingi kama si zote pale chuo zimejaaa.SUA si kama ya zamani...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kufuatia Maandamano yaliyofanywa na wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wiki hii ya kudai nyongeza ya pesa ya kujikimu kutoka Sh.5000/= hadi Sh.10000/=. Kumekuwa na kauli mbalimbali toka...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Back
Top Bottom