Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
  • Sticky
Habari Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kwenye ushiriki wa Uchaguzi Mkuu 2025, ambamo ndani yake utapata links za matukio...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'. Wakati kipindi...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa...
2 Reactions
19 Replies
281 Views
Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya...
1 Reactions
10 Replies
159 Views
Wakati CHADEMA ikikomaa na NO REFORM, NO ELECTION, ACT WAZALENDO nao wamekuja na mpya kususia vikao vya umoja wa vyama vya siasa kwa madai kama ya CHADEMA. CCM wao wako busy kubuni mbinu za...
1 Reactions
9 Replies
169 Views
Wakuu Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Tunaendelea kuangalia meno ya TAKUKURU na msajili wa vyama vya siasa! Pia soma: Pre GE2025 - Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni...
1 Reactions
11 Replies
251 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka wanachama wa chama hicho kutokata tamaa au kununa pale wanaposhindwa kwenye kura za maoni...
0 Reactions
1 Replies
86 Views
Leo, tarehe 15 Machi 2025, Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa mkoa, ambapo wagombea watatu walijitokeza kugombea nafasi hiyo. Wagombea hao...
0 Reactions
2 Replies
99 Views
Wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuandaa Daftari la Faida litakaloonesha kazi na shughuli za...
2 Reactions
30 Replies
697 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha...
7 Reactions
63 Replies
2K Views
Wakuu Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, ameonyesha moyo wa huruma kwa kusaidia mtoto mdogo kumtwisha dumu la maji kichwani baada ya kumkuta akichota maji. Kupata taarifa na matukio...
6 Reactions
27 Replies
630 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi...
9 Reactions
42 Replies
642 Views
Wakuu, Mambo yametokea huko, ngoja waseto waje watueleze kunani! Au CCM ndio imepiga pini 'No Reforms No Election' isipate nguvu wakaanza kushawishiwa kupokea mabadiliko?! ===== Msafara wa...
17 Reactions
99 Replies
5K Views
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora...
15 Reactions
114 Replies
2K Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
16 Reactions
1K Replies
21K Views
Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka. Kwa mwaka 2021 kulisajiliwa Miradi 256 ya uwekezaji yenye mtaji wa Dola...
1 Reactions
4 Replies
130 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Temeke, imemkamata na kumhoji Mwananchi aitwaye Habibu Mchange, ambaye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi CCM, kwa tuhuma za rushwa ambapo...
2 Reactions
18 Replies
726 Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amesema tayari Serikali imetoa Sh.Bilioni 1.8 kwa ajili kuendelea na ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Muleba, mkoani Kagera...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya...
1 Reactions
7 Replies
315 Views
Copy and paste Viongozi wengi wa kisiasa huwa wanajitengenezea taswira fulani ktk uongozi wao. Kwa mfano aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, alijijengea taswira inayofanana kidogo na taswira...
6 Reactions
18 Replies
786 Views
Back
Top Bottom