Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM. Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa. Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d...
1 Reactions
16 Replies
730 Views
Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Antipas Lissu amesema yeye kugombea Urais wa JMT ni hadi ipatikane Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Kimsingi CHADEMA tutaonekana Watu wa ajabu sana kama...
13 Reactions
78 Replies
3K Views
Aliye na macho haambiwi tazama,zile zama za pesa kununua nafasi ccm zimerudi Kijana kama ulikuwa na ndoto kuwa mbunge au Diwani kupitia ccm na huna pesa sahau,kafanye shughuli zingine au tafuta...
1 Reactions
6 Replies
842 Views
Chini ya Hayati Magufuli, tumeshuhudia jamii ya Watanzania ikiwa imegawanyika pasu-pasu kwa misingi ya itikadi kinzani za vyama vya siasa. Mgawanyiko wa jinsi hii haujawahi kutokea kwenye awamu...
16 Reactions
137 Replies
9K Views
Back
Top Bottom