Nimeongea na mwenyekiti wa UVCCM wilaya moja ya mkoa Kilimanjaro. Nimeuuliza mbona sasa wanaigeula serikali na wao ni watoto akinijibu kuwa wanaweka shinikizo ili Ngeleja ajiuzulu. Na...
Habari zenu wanaJF, jana nilishtushwa baada ya kuona taarifa ya kuwa UVCCM eti na wao wanatoa tamko kuhusu sakata la Dowans. Cha ajabu zaidi ikawa si Dowans pekee bali hata Bodi ya mikopo ya...
Nimesoma kikatuni gazeti la Majira leo limenichekesha sana. Inaonekana Zitto akiwa ameshika bendera ya chadema akiwa amejifunika magazeti yaliyoandikwa sakata la dowans huku akiwa amelala fofofo...
Wakuu:
Letter head ya mawasiliano ya ikulu inaonyesha kuwa email yao wanayotumia kwa ajili ya mawasiliano ni ya yahoo (E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com). Jamani hivi hii imekaa sawa kweli. Mi...
Ndugu Zangu,
SIASA ni burudani pia. Siku hizi hakuna ukame wa burudani za kisiasa. Kila kukicha, tunaamka na burudani za kisiasa. Jumatano iliyopita nililikamata Tanzania Daima...
Ndugu zangu nilko home leo nimebahatika kuangalia mjadala katika Aljazira TV, walikuwa waki discuss namna ambavyo social media zilivyo fanikisha mabadiliko huko tunisia. Jamaa mmoja kutoka tunisia...
nina wasiwasi na hizi noti mpya maana baadhi ya kesi EPA related zilihusu currency overprint ya mabilioni,hivi dowans hawawezi kulipwa kwa mtindo huu halafu JK akatangaza dowans hawalipwi na...
Hongereni kwa tamko lenu lenye harufu ya uchungu kwa chama chenu ili kiache kukumbatia uovu wakati wananchi wamekiamini na wakakipa dola, ila hamkupaswa kumchafua Mh Dr slaa kwani dhambi zake ni...
Katika kudhihirisha kuwa CHADEMA ni chama makini na ni chama ambacho kina sera zenye mashiko serikali ya CCM imekuwa inaendeleza utekelezaji wa sera za chama hicho ambazo mgombea wake wa urais...
Ndugu wasomaji,
Tumeshuhudia jinsi nchi yetu ilivyokumbwa na vurugu za kisiasa jijini Arusha. Katika vurugu hizo damu ilimwagika. Ni wakati wa masikitiko makubwa kwa nchi yetu na vilevile ni...
Ndiyo.. Ccm hawana urafiki zaidi unafki.. Nakwambia kina Sitta, siku zao za uwaziri zinahesabika. Si uwaziri tu,hata uccm!. Kimsingi endapo kikwete ataridhia malipo ya matapeli Dowans(ofcourse...
Ndugu zangu kutokana na kumbukumbu zangu leo ni siku ya kesi ya viongozi wetu huko Arusha,kwa taarifa niliyonayo watu wengi hivi sasa wanaelekea mahakamani kusikiliza mashitaka ya viongozi wetu...
huu niwakati watanzani wakuonyesha kua tuna sauti na maamuzi kwenye nchi yetu,hii nchi imekua kama haina mwenyewe nchi ina tawaliwa na majizi raisi tuliye mpa dhamana ya kutuongoza yuko...
kamati Kuu ya CCM, leo inakutana jijini Dar es Salaam, Huku Chama kikikabiliwa na mtihani wa kutanzua baadhi ya migogoro ya chini chini inayowahusisha baadhi ya makada wake pamoja na matukio makuu...
Wana jf kuna jambo nimelifikiria sana la team ya mkapa kuto onekana katika kipindi hiki cha kikwete. Wengi wakiongea serikali inakosa majibu. Hebu tujikumbushe ile team. Mangula, kigoda, Magufuli...
Mwanakijiji,
1. Kuhusu Richmond na Dowans, Bunge lenu lilichunguza likasema hakuna sehemu walipoona kwamba Mh. Rostam Aziz anahusika... sasa nini kifanyike tena...
Hicho ndicho nilichosema...
Wakati akiwahutubia wanachama wa UVCCM katika mkutano wao uliofanyika mkoani Iringa hivi karibuni na kupelekea Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Yusupf Masauni kujiuzulu kwa tuhuma za kugushi nyaraka kuhusu...
Wana JF, hivi magazeti kazi yake ni kuchukua kila wanachoambiwa na kuona na kukiweka kwenye magazeti yao bila kukifanyia tathmini na kuona mantiki yake na kujua ni jinsi gani watakitoa kwa watu...
Kwakuwa swala hilo limepigwa chenga ya mwaka bungeni , likapigwa chenga mahakamani usuluhishi, Likapigwa Chenga barazani kwa mawaziri, likapigwa chenga kwenye vyombo vya habari, sijui nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.