Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
ama kweli WONDERS NEVER CEASE! Ndugu zangu wana Jf, hizi fikra za ubinfsi wetu zinazotutuma kupiga kelele hadi sasa katka kona ya Sheria sisi wote tulipaswa tuwe lupango.. Ndio,tunawatuhumu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sitta: Hakuna wa kunifunga mdomo Wednesday, 19 January 2011 21:53 0diggsdigg Ramadhan Semtawa WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amekoleza moto wa sakata la kampuni ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I thought maybe January or Zitto would have been in his cabinet (regardless of your opinions) by vijana I mean asiyezidi 35 yrs surely this country cannot be let by a bunch of dinosaurs and its...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ifuatayo ni taarifa ya Ikulu iliyotolewa jioni hii kuhusu sakata la Dowans.... DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
MIAKA 20 NAKUMBUKA KAULI TASA YA BABA WA TAIFA JUU YA MHE KIKWETE; "TUMUACHE BADO AKUE KIDOGO" Huko nyuma, nilivyokuwa mtoto nilidanganyika sana eti mtu ukianguka basi utakuja kuokota hela sehemu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Inasikitisha kusikia habari hii ya Wananchi mkoani Mara kuchukua sheria mikononi mwao kwa kuchoma moto nyumba 3 za Mchungaji wa kanisa kwa sababu za ushirikina na uchawi! na ku sababisha Mchungaji...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
News Global development Poverty matters blog...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii mijadala inayoibuliwa huku ya mara Lowassa for 2015, Prof Mwandosya kugombea 2015, Membe anafaa 2015 mara Sitta na mbio za uraisi 2015 ni upunguani! Tunaongelea 2015 wakati 2011...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Justice according to Al-Shabaab Don't shake hands with women, no football, no past- ankle-length trousers… prayer beads banned as well By ABDULKADIR KHALIF in...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
miaka hamsini iliyopita tarehe kama ya leo wakati na apishwa nikiwa rais kijana marekani niliyasema maneno yafuatoyo katika hotuba yangu na leo hii yako juu ya kaburi langu pembeni ya mto hayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu, moja ya matatizo makubwa ya Watanzania ni pamoja na kukosa uzalendo na moyo wa kupigania nchi yetu Tanzania. Hili tatizo lipo kwa wananchi wa chini pia na viongozi wa juu katika serikali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Habari za kuaminika ni kwamba atakaerithi mikoba ya jk 2015 ni sophia simba. Huyu mama ni shujaa na mpenda maendeleo sana. Ukimzingua anakupa za kichwa kwahiyo wadau tuanze kumkampenia ili apite...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SHIRIKISHO la vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), limeeleza kuwa watafanya maandamano ya amani Januari 29 mwaka huu kwa lengo la kupinga bei ya umeme na kuunga mkono mabadiliko ya Katiba mpya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
JK akiwa anaendesha gari kwa spidi ya ku achieve MDG 2015 na kupunguza umaskini mara anakuta vijana barabarani na kumtania " dereva tairi inazunguka" mara anasimamisha gari na anashuka na kuanza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Inasemekana deci ilianzishwa na chama kimoja chenye nguvu ili kujikusanyia fedha za kampeni. Hayo maneno yaliyo enea mitaani sijui yana ukweli gani, lakini wahanga wa fedha za deci wanadai kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HUU NI UONEVU KWA WATOTO Kwa muda wa takribani wiki mbili sasa, wadau mbalimbali mlikuwa mkifuatilia tukio lililotendeka hapa Bukoba, Katika kitomgoji cha Bihoko, Mtaa wa Bunumkangoma ulioko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wednesday, 19 January 2011 21:53 0diggsdigg Ramadhan Semtawa WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amekoleza moto wa sakata la kampuni ya kufua umeme wa dharura ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Moto umeanza , watanzania tuunge mkono. Vijijini watu wameaka na sisi wa mijini tuwaunge mkono. Source: Dowans yatua CHADEMA
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana nilikuwa naangalia taarifa ya habari TBC nikamuona Mh.Dr.Dr.Kikwete akizindua rasmi awamu ya pili ya mpango wa elimu ya sekondari katika kutekeleza MDGs. Katika hotuba yake alisisitiza kuwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mahojiano na Mheshimiwa Mhonga Said Rhuwanya - Viti Maalum CHADEMA Mheshimiwa Mhonga Said Rhuwanya ni mmoja wa wabunge vijana wanaokuja juu. Akiwa na umri wa miaka 26 aliwashangaza wengi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom