Katika hatua ya kushangaza kabisa, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ameahirisha uchaguzi wa Meya. Katika Halmashauri hii CHADEMA ina madiwani wengi zaidi ya CCM na nafasi ya Meya na Naibu...
Hivi kweli tunatimiza miaka 50 tangu tupate uhuru hatuna umeme. hii ni aibu kubwa kwa taifa.
Nijuavyo Tanzania inaruhusu haya mambo ya Independent Power Production ndio maana tulikuwa na jamaa...
Kuwa kuna mgawanyiko mkubwa kati ya madiwani wenye asili ya mji huu na wasio na asili na mji huu kiasi cha kwamba shutma mbali mbali zinatuptwa kuanzia za rushwa mpaka hizo za toka kwa wenye...
Katika idara ambazo hazibahatiki kuwa na watu wanaozifuatilia na kudhibiti utendaji wake hapa nchini ni idara muhimu zaidi kwa watu masikini, wanyonge na dhaifu katika jamii kuliko zote-Idara ya...
Kuna matumizxi mabaya ya Fedha zetu, PAYE zetu, kodi zetu, mirahaba yetu
Jk anaendeleza Tour nje saivi ashenda Belgium,Egypt & Zambia sasa waziri wa mabo ya nje anafanya kazi gani???
Naona JK...
habari nazopata toka mwanza ni kuwa kikao cha kumchagua meya wa mwanza kimevunjika baada ya kutokea purukushani kati ya madiwani wa ccm na chadema...more to come
Mwandishi Wetu
Mkakati wake wa kwanza ni kuivuruga UVCCM
Akifanikiwa ataanza kupanga safu uongozi Wazazi, UWT
Awaita Dar kimya kimya wenyeviti wa mikoa wa UVCCM
WAZIRI katika...
Hi there, can we discuss the issue of ethnic groups in higher learning institutions and several organizations. Cku hizi kila mahali kuna chama cha kabila fulani. Hii c kwamba tunajigawa kimakabila...
Kanisa Katoliki lagoma kuzika
Imeandikwa na Peti Siyame, Sumbawanga; Tarehe: 14th December 2010 @ 08:00
KANISA Katoliki Parokia ya Familia Takatifu Jimbo la Sumbawanga, limegoma kuendesha ibada...
Katiba mpya...katiba mpya...katiba mpya!! Neno katiba siku hizi limekuwa kama wimbo flani unaotamba kwa wakati flani.
Sasa limenijia swali hapa. Je tukishaipata hiyo katiba mpya tunayoililia...
Nimefurahi kufika ktk jiji hili kwani nilikua nikilisoma kwenye ramani na vitabu.nimekubli jiji hili ni zuri la kuvutia,wenyeji wa jiji hli ni wasukuma but pia kuna mchanganyiko wa kabila...
Ndugu wana jamii nimeamua kuleta hii topic kwenu baada ya kuangalia kwa kina tatizo la mrundikano wa watu hasa kwenye ma benki yetu hapa nchini.
Siku moja nilikua benk ya NBC pale makambako Iringa...
Gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM lina habari kuu leo isemayo.....NEC: Gazeti latumika kupandikiza uchochezi...................
Habari hii imekuja baada ya gazeti moja linalosadikiwa kuwa ni...
Kwa wanaomfahamu samweli luangisa aliyekuwa meya wa Bukoba kwa zaidi ya miaka 20 hatimaye amebwagwa na Bw Anatory Aman katika kinyanganyiro cha kugombea kupitria CCM
Luangisa aliwahi kuwa mkuu...
Katika nchi inayoendeshwa kifisadi watu waliopewa dhamana za uongozi utumia nafasi hizo kujineemesha wao wenyewe kwa maamuzi yasiokuwa halali. Hata hivyo ingawa maamuzi hayo yanakuwa...
Nimekua nikifuatilia kwa ukaribu baadhi ya maamuzi ya SISIMU likiwemo lile la kumtema Samwel Sita bila sababu za kimsingi, Kuwatema baadhi ya walioshinda kwenye kura za maoni na kuwaweka baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.