Napenda kutoa wito kwa watanzania wote hasa vijana na wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na wote wenye mapenzi mema na tz, tufanye maandamano ya amani kuhimiza juhudi za ziada zifanyike kumaliza...
Napenda kufahamu huyu fisadi Chenge leo ndio ilikuwa hukumu yake kwenye ile trafic case inayomkabili pale mahakama ya kinondoni...mwenye taarifa zaidi anijuze
Hivi kweli ni hekima na picha gani wananchi wanayoipata ukisikia kuwa eti Serikali yamkataa Jaji Mkuu katika kesi ya samaki.
Tunaelewa kuwa kama Hakimu / jaji ana maslahi katika kesi fulani...
Mheshimiwa Zitto Kabwe,
Mbunge wa Kigoma Kaskazini,
na Katibu Mkuu Msaidizi wa CHADEMA.
Mheshimiwa,
Kwa siku za karibuni jina lako limevuma sana katika vyombo vya habari kwa masuala mbali mbali...
Kuna taarifa nimezikia juu juu tu. Ati Lyatonga katoa amri kuwa wale wanywa gongo na wavuta bangi walompigia kura wachapwe bakora. Sasa hii imesababisha mauaji. Naskia watu kadhaa wamekufa huko...
Hakika JK rais wetu mpendwa atakumbukwa kwa mengi moja wapo ni haya...
Mwanzilishi wa Siasa za Kimtandao
Mwanzilishi wa Siasa za Maji taka
Mwanzilishi wa Safari nyingi za nje
Mwanzilishi wa...
The real tragedy of Cote d'Ivoire is that we've seen this so many times before
By JENERALI ULIMWENGU
The tragedy that has become Cote d'Ivoire is unfortunately one of those déjà vu situations...
Kama kawaida naskia siku anatoka kimya kimya, kuna ajuaye ashaenda nchi ngapi ili nijue pengine ndani miezi 60(5 years) atakuwa amesafiri nje mara ngapi.:plane:
habari niliyoipata kutoka manispaa ya morogoro ni kwamba katika uchaguzi uliofanyika masaa mawili yaliyopita ya umeya, Mh. Amiri Juma Nondo ndio amekuwa meya mpya wa Manispaa hiyo akiwabwaga...
I'm hoping that Chadema has not changed its position on recognizing Kikwete as President as it was reported by some media following the CC meeting few days ago. But, if Chadema change its position...
Pamoja na upole wa mtz alionao, je, nini kitatokea iwapo watz tutaweka upole pembeni? Ikulu kweli kutakalika na huyo Mkwere mwizi wa kura ataufurahia ushindi wake?
Katika shauli la wazee wa East Africa,serikali kupitia mwendesha mashtaka imemkataa judge mkuu Agustino Ramadhan kuwa haina imani nae katika shauli hilo,nchi inaelekea wapi? Bunge,mahakama...
Mwezi Mei mwaka huu, Kikwete alienda Serengeti kupokea vifaru watano waliokuja kwa ndege kutoka Afrika Kusini huku akichekelea kama kawaida yake. Akiwa huko Serengeti, alikutana hotelini na rafiki...
Ndugu Zangu wanaJF, wapenda mabadiliko, Wasomi, waliochoka na Uongozi mbovu wa CCM toka Uhuru wa nchi hii miaka 49 iliyopita, naomba niwasilishe kisehemu tu ya utafiti mdogo nilioufanya baada ya...
Mchakato wa kuwapata mameya,manaibu mameya na wenyeviti wa Halmashauri nchini kupitia CCM ,Unaendelea kukipasua chama hicho baada ya diwani mwingine wa chama hicho kujiuzulu wadhifa huo...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amewataka wananchi waliopora viwanja na maeneo ya wazi nchini na kujenga, wajisalimishe kwa mazungumzo, kwa sababu huenda...
Wadau wenzangu,nimekua nikifuatilia TIN hapa tra kwa muda wa wiki moja saiv kila siku imekua njoo leo njoo kesho,mara mtandao upo down mara bosi hayupo. Ila leo naona wameamua kunitolea uvivu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.