Jana usiku nilistuka sana wakati nilipokuwa naangalia kipindi cha habari caha usiku TBC 1, kuna habari moja ilikuwa ya kusikitisha ya mauaji iliyotekea Vunjo moshi. Wanahabari walielezea kwa...
KANISA Katoliki Parokia ya Familia Takatifu Jimbo la Sumbawanga, limegoma kuendesha ibada ya maziko kwa marehemu wawili wakidai ibada haitaendelea mpaka pale waumini ambao ni wanachama wa Chama...
Waziri wa Afya Mh. Mponda (Mb) wa kwanza kushoto mwenye suti nyeusi akitembezwa kuangalia huduma za afya katika hospitali kubwa kuliko zote na ya kisasa ya Muhimbili Dar-es-Salaam.
Hapo tunaona...
Waziri 'ajitundika' ATCL
Imeandikwa na Lucy Lyatuu; Tarehe: 8th December 2010 @ 06:11 Imesomwa na watu: 52;
WAZIRI wa Uchukuzi, Omar Nundu amesema, anakusudia kuiwezesha Kampuni ya Ndege...
Salaaam kwenu enyi wana JF,
Binafsi nafuatilia walau kwa kila hatua kile kinachoendelea ndani ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA M AENDELEO. Pengine ninashawishika kuandika mengi juu ya mambo...
Mambo muhimu ya chadema kujifunza kwa haraka
Ushauri wa bure kwa CDM:
-Zitto ni world player, wamuheshimu tena wamuombe radhi.
-Wawe makini na MBOWE, huenda akawa shushushu (pandikizi la...
Wadau, hivi mameya wanatakiwa wawe wamechaguliwa by lini? Maana naona hapa napo pana kazi! CCM zengwe haliishi, hadi kwenye chakula cha mgonjwa...mh, Rorya....
Diwani, mwenyekiti wilaya wajiuzulu
Sasa wafikia watatu, kisa uenyekiti
Mchakato wa kuwapata mameya, manaibu mameya na wenyeviti wa halmashauri nchini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Nyumba ya mwenyekiti yachomwa
Mke wake na mtoto wafia ndani
Ni uasi kupinga Operesheni ya Mrema
Operesheni ya kusaka wahalifu iliyoanzishwa na Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema, jimboni mwake...
Ushauri wa bure kwa CDM:
-Zitto ni world player, wamuheshimu tena wamuombe radhi.
-Wawe makini na MBOWE, huenda akawa shushushu (pandikizi la serikali)
-Wabunge wake wasitafute sifa kwenye...
NSSF, PPF NA WENGINE WANADHULUMU WANACHAMA WAO
Taasisi nilizozitaja huwa sizitofautishi sana na mtu uliyempa kazi ya kukusanyia pango ya nyumba yako na akutunzie pesa zako lakini pia utampatia...
Nakumbuka kuliwahi kuwepo na nishani za Uhuru, Nishani ya Utumishi wa Muda Mrefu, Nishani ya Utumishi Uliotukuka, Nishani ya Vita ya Kagera, Nishani ya Kilimanjaro (the highest civilian medal) n.k...
Leo Wananchi Tukiangalia Makosa na Uhaini CCM Imeifanyia Tanzania, Tutaona Hata Mara Moja Viongozi wa CCM Hawatoi Msamaha Wala Kukubali Wamewaumiza Wananchi Wao. Tukianzia Rushwa, Umaskini na...
mnakumbuka
UKUTI UKUTI WA MNAZI WA MNAZI WA .... WA..... TUMPELEKE MNAZI MMOJA TUMPELEKE MNAZI MMOJA HAPO MNAZUNGUKA MPAKA KIZUNGUZUNGU YAANI KAMA NAMWONA HUYU WAZIRI ANAVYOANZA KUIMBA NA KUANZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.