Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu wana JF naomba niwaletee historia fupi ya Dr. Slaa na Chadema katika wilaya ya karatu tangu 1995 hadi leo hii. Kwanza kabisa Karatu ni sehemu mambayo imekuwa na historia ya kipekee...
0 Reactions
36 Replies
15K Views
Serikali ya shirikisho la wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma (UDOSO) imekanusha taarifa iliyotolewa na msemaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma na waziri wa sheria na katiba wa chuo kikuu cha...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Polisi yaruhusu mikutano CHADEMA. Na Tumaini Makene. SIKU moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kulilalamikia Jeshi la Polisi juu ya kutoa amri ya kuzuia mikutano yake...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Si vibaya ukamfahamu mheshimiwa rais wetu watanzania
0 Reactions
1 Replies
5K Views
HALI ya wasiwasi imezidi kutanda miongoni mwa watu wa Wilaya ya Tandahimba, yakiwa ni matokeo ya makovu ya uchaguzi wa ubunge, yaliyompa ushindi mgombea wa CCM.Hata hivyo ushindi huo ulipingwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
BAADHI ya vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), hasa wenye maslahi na nafasi kadhaa za uteuzi, wanadai kwamba Rais Jakaya Kikwete anakosa uamuzi katika kuteua wakuu wa mikoa, baadhi yao wanadai...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Taarifa ya habari ya saa moja jioni ya leo ya TBC1, Waziri wa Miundo mbinu Dr. Magufuli amesambaza Ilani ya uchaguzi za CCM kwa watendaji Wizarani kwake katika hali inayoonyesha anachapa siasa...
0 Reactions
76 Replies
9K Views
Wizi wa kura una historia ndefu na umeshatumika katika nchi kadhaa duniani. Kwa hiyo mbinu zake zinajulikana nazo ni pretty standard ijapokuwa kuna wataalamu wa uchakachuaji wanaozungukia serikali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJF, Kama mnavyofahamu, hivi sasa kuna maandalizi kwenye majimbo mengi ya kufungua kesi mahakamani kupinga ushindi wa wabunge waliotangazwa na NEC. Ninachopenda kujua ni je mbunge ambaye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Gazeti La Mtanzania ambalo ni maarufu kwa kukipamba Chama Cha Mapinduzi safari hii naona uzalendo umeshindikana na wamebidi kutupasha habari juu ya mpasuko mkubwa ndani ya Chama hicho mara baada...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzania hii ya sasa ni ya Educated and people who have tired with Promices which are not applicable,, wamechoka kudanganywa na wanaotafuta ukweli wa mambo kwa Gharama yeyote ile.. Sasa Kikwete...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndugu wanajamii Report ya Gharama za uchaguz zimesha kamilika na Lengo la kuifungulia Kesi CCM kuhusu Gharama za uchaguzi mbona naona kama limeyeyuka? au Chadema walituyeyusha jamani,, Mi naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uchaguzi wa madiwani kata moja huko rufiji hii imekaaje hakuna mshindi uchaguzi utatudiwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Mwandishi wetu Happy Katika hali iliyoonekana kuwavutia watanzania wengi waishio nchini Urusi, Tawi la CCM Moscow limefanya sherehe ya kumpongeza Mwenyekiti wa CCM na Raisiwa...
0 Reactions
76 Replies
9K Views
Jamani nimesikia kukosa kwa prof msolla kuwa waziri wkt alistahili kumetokana na mabwana wakubwa wawili wa nchi hii yaani rostam , na el kisa: Lowassa: Kwanza alimshawishi msolla ajenge chuo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Makanyagio wilayani Mpanda mkoani Katavi, Chifu Mlela Mallac, amejiuzulu nafasi hiyo kwa kile kinachoelezwa kwamba amekuwa akizongwa mara kwa mara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika historia ya nchi yetu, bunge la 10 litakuwa bunge la umuhimu wa kipekee!!! kutokana na miongoni mwa sababu ni hizi hapa chini:- 1) Ni bunge la kwanza kuwa na serikali mbili, moja ndani ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
SERIKALI mpya ya Rais Jakaya Kikwete iliyoanza kazi rasmi baada ya kuapishwa jana, ipo katika majaribu kutokana na mawaziri wake 17 kufunguliwa kesi mahakamani kupinga matokeo yaliyowapa ushindi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa walioangalia sherehe za kuapisha mawaziri ,waliona pale meza kuu kiti cha dr shein ..kilichokuwa pembeni ya waziri mkuu pinda na Maalim kilichokuwa pembeni ya Bilal ...vilikuwa wazi,yaani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom