Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ismail Jussa, mwanasiasa kijana wa Visiwani wa CUF anangojea kurithi mikoba ya ufisadi ya Rostam pindi Muirani huyo atakapotimka nchini. Wawili hawa ni maswahiba wakubwa sana na kinachoendelea...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Midaharo yote iliyoendeshwa karibia kipindi chote cha kampeni imeleta changamoto kubwa sana.Hata hivyo mdahalo kuhusu kambi ya upinzani ndani ya bunge umekuwa wa aina yake hasa katika kuonyesha ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
2010 ndio hio imekwisha sasa Kampeni inaanza rasmi kujiandaa na Uchaguzi wa 2015, mimi kama mpenda mabadiliko kwa maoni yangu mbinu zifuatazo inabidi zifanyike kuanzia sasa ili kuhakikisha 2015...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndiyo. Leo. Eneo la Mawenzi. Saa 11 jioni. Lengo ni moja tu. Kuwa kuunda serikali ya mtaa 2014. huku kwetu CCM hawauziki. hawakubaliki. Tunaomba ulinzi. Ulinzi wa polisi. Naskia. Polisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mawaziri 16, wabunge 20 mahakamani Send to a friend Sunday, 28 November 2010 11:17 0diggsdigg Waandishi wetu SERIKALI mpya ya Rais Jakaya Kikwete iliyoanza kazi rasmi baada ya kuapishwa jana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana Maalim Seif alihutubia mkutano wa hadhara huko Zeinj na kuwashukuru wananchi wa huko kwa kile alichoita kuwezesha kuundwa kwa " serikali ya umoja wa kitaifa." Swali hapa, ni taifa gani hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF katika historia ya Haile Selasie, aliwahi kufanya ziara ulaya na asia akiwa na watu wake mashuhuri (nobles) huku akiwa na kundi la simba(pride of lions). Mbali na simba hao pia alikuwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nadhani mliangalia mdahalo wa jana na mliona kwa kiasi gani HR alivyodhihirisha wazi kuwa anahitaji bado kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani. Mlimuona anavyoongea kwa jazba yeye rafu aliziona za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MCT kuchunguza tishio la Serikali kwa Mwananchi Send to a friend Saturday, 27 November 2010 08:04 0diggsdigg Salim Said na Jackline Lema BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limeunda Kamati Maalumu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefurahi na kujivunia pale mlipo ridhiana kati ya c.u.f na c.c.m zanzibari kwa kuwa na serikali ya umoja sasa basi wakati umefika nyie wanzanzibari muunde chama chenu kimoja na muindeleze...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gazeti la Habari leo linatufahamisha ya kuwa Mheshimiwa Waziri wa nchi Ofisi ya Raisi Bw. Wassira sasa haoni kuna mpasuko wa kidini ila kuna vijinyufa kwenye nyumba yetu na nyufa hizo haziwezi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"In defining of the lecture nowdays it seems as the parliement has take the judicial so as it do interpretate the law as it was done in private candidate case. By doing so, we need not to have...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hivi kile kiapo wabunge wateule wanachofanya bungeni mbele ya spika si kina maana baada ya hapo wanakuwa wabunge kamili na si wateule tena ili waweze kikatiba kufanya kazi zao. SASA inakuwaje...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Warizi mkuu wa zamani wa tanzania hayati Rashid Kawawa alimfunika kwa mbali jakaya Kikwete wakati wawili hao wakitunukiwa PhD za heshima katika mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha Dodoma. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani Nimepata hii habari kuhusu ZAIN kununuliwa na AIRTEL na Serikali Yetu Bado ina Ubavu wa kuchunga rasilimali zetu pamoja na UFISADI tafadhali soma hiyo habari na nimehighlight information...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear friends, Have you noticed this? Baraza la Mawaziri linaapishwa Ikulu,even as I write this. Cabinet inaapishwa Ikulu at this very moment that I am writing this,lakini,so far,ni TBC1 peke...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina mpango wa kukata kiu ya ‘waliomisi’ uwepo wa Dk. Willibrod Slaa bungeni kwa kumuingiza kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika wakati wowote...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Katika kampeni nzima Chama cha Mapinduzi hakikuahidi mabadiliko yoyote makubwa aidha ya mfumo wa kisiasa, miundombinu ya utendaji au hata mabadiliko ya kuona haja ya kufanya mageuzi makubwa ya...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa wale ambao wanaishi nje ya nchi watakubaliana nami kuwa kumekuwa na utitiri wa matawi ya CCM ambayo mengine si matawi bali ni vijikundi. Tena matawi haya yamekuwa na access kubwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wananchi Tunaoangalia na Kusoma Utaratibu wa Uongozi Inchi Zingine Tunaona Inchi Kama ya Tanzania Kuwa na Idadi Kubwa ya Baraza la Mawaziri na Manaibu ni Moja ya Uongozi Mbaya Tanzania. Hii Pia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom