Wadau vumbi la viti maalum ubunge limetua,sasa hivi viti vya udiwani vinapatikanaje?yaani ni fomula gani itatumiwa na tume?mwenye data namna vinapatikanaje amwage hapa!
Zanzibar ninavyo ifahamu ina ukubwa wa kilomita za mraba 2643 sawa na ukubwa wa kama jimbo moja au mawili ya huku bara na kwa sensa ya 2002 ilikuwa na idadi ya watu 1070000 sawa na idadi ya wilaya...
Barua Ndefu ya Wazi kwa Jakaya
Jenerali Ulimwengu
Novemba 10, 2010
Mwaka 2005 siku chache baada ya Jakaya Kikwete kushika madaraka ya Rais wa Tanzania kutokana na uchaguzi uliompa...
Wana JF,
Ni mara nyingiii sana nmekuwa nkisoma majibu yatolewayo na viongozi wetu especially kwa waandishi wa habari ndani ya nchi na yooote huwa yananisikitisha,mengi ya majibu hayo ni ya...
Dr. Slaa is now the center of attention wherever he goes. He is not a glamorous movie star, just an ordinary good citizen, man of the people with an excellent command of highest respect.
To...
Wahenga wetu walisema zamani sana kuwa ukipanga pilipili basi utavuna pilipili. Hii ni methali ambayo wengi wanaifahamu ila wamekuwa kama vile hawataki kukubali kuwa inaweza kutokea kwao pia...
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kutupatia wabunge wa kutosha wa upinzani bungeni katika term hii. watu wenye uwezo mzuri na uaminifu kama Dr slaa ni wengi mno mwaka huu hata kama slaa mwenyewe...
Wana JF mimi nina maoni yafuatayo.
Nakubaliana na CHADEMA kutoungana chama chochote kwa sasa kutokana na ukweli kwamba:
1. Muungano wa CUF na chadema hauwezekani kwa sababu CUF wana muungano na...
Kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya Chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa...
Kwa maehsabu ya haraka inaelekea CUF wanawania kuongoza kambi ya upinzani wakiwa na fikra ya kuwa watashinda viti vinne vya visiwani na ukichanganya na vinne vya NCCR-Mageuzi na TLP; Wataweza...
Kwa mara ya kwanza leo tumeshuhudia wabunge wa chama cha CUF wakimchagua mgombea u-spika wa chama tawala kuwa spika. Wapo walioshangaa na uamuzi wa CUF, pia wapo ambao hawakushangaa kabisa...
Kuhudhuria kwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe wakati wa kuapishwa kwa rais Kikwete kunaelezwa na wanazuoni huenda ikawa sababu ya nchi nyingi hasa za magharibi kusita kumpongeza rais Kikwete...
Ndugu zangu nimeona quote ambayo imeandikwa na mbunge mmoja wa NCCR Mageuzi kuwa wabunge wa NCCR walivote for Marando kama chama pamoja na wabunge wa CHADEMA. Ila CUF kama chama walivote for CCM...
NCCR Mageuzi ni chama kilichofanya vizuri sana katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ingawa wabunge wake wote wanatoka mkoa mmoja na mlistahili kupata mbunge mmoja nje ya mkoa wa Kigoma lakini...
:israel:Kwanza, niwapongeze wananchi wa Tanzania kwa kutumia haki yenu ya msingi kuchagua viongozi wenu, yote yaliyojiri katika harakati hizi tunayafahamu. wanotakiwa kuyafanyia kazi basi tunaomba...
Salamu wana JF,
Ule mchakato wa kumpata spika mpya ndo umeanza asubuhi hii, kwa wana JF walioko on ground na wale wanaofatilia kwenye TV tunaweza kuitumia thread hii ili kuhabarishana live news...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.