Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
http://www.mwanahalisi.co.tz/mkapa_kalewa_au_kapotoka- Imechapwa 03 November 2010 RAIS mstaafu Benjamin Mkapa si mtu anayependa kusema au kuhojiwa, lakini pale anapofanya hivyo huzua kasheshe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nashindwa kuamini kama mch. Myikila yupo nchini kwasasa! Tangia uchaguzi hadi kuapishwa na sasa bunge kuanza mtikila asisikike kwa lolote?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jina la atakayependekezwa na rais kushika wadhifa wa waziri mkuu kuwasilishwa bungeni siku ya jumanne. Source: TBC1
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dr. Slaa anahojiwa na tbc taifa kuhusu kupitishwa kwa anna makinda. Maoni yake ni haya; Mtangazaji: Unaonaje kupitishwa kwa anna kama spika wa bunge la jamhuri? Dr. Slaa: Anna makinda anafaa kuwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mh. Chenge aligombea uspika kwa maelekezo mahsusi ya kuzima vuguvugu la kupinga matokeo ya uchaguzi lililokuwa linaletwa na Chadema. Na katika hili kwa kweli walifanikiwa sana coz waTZ wote tuli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mod naomba uvumilie maana najua kuna vichwa maji wataijadili hii mada kwa mlengo wa ukabila. Lengo langu kujadili fumbo la haya makabila matatu kuonekana ni hatari kuongoza nchi hii,ni kuondoa...
0 Reactions
66 Replies
18K Views
Hi wana JF, kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani, Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Bunge la Tanzania limegawanyika hivi From http://www.parliament.go.tz/bunge/aboutus.php?cat=2&subcat=4 1. Members elected from the same number of constituencies. 232 2. Special seats women...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jk is one of ma best politicians ever been in tanzania,prezo comrade R mugabe alikuwa na lengo zuri for the sake of his country lakini wajanja wachache wakamuwahi ukichanganya na private life...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Uchaguzi ulipomalizika na matokeo kutangazwa wapendamaendeleo wote tulipata hamasa baada ya kuona hatua kubwa iliyopigwa na vyama vya upinzani kwa kuweza kufumbua macho ya Watanzania mjini na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kuzingatia idadi ya wabunge wa CCM ndani ya bunge letu, ni dhahiri kila mtu alitegemea Mh Ana Makinda angeshinda kirahisi kabisa katika kinyang’anyiro cha Uspika. Pamoja na matarajio hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ni kwa nini Watanzania wanaoishi nje ya nchi hawapati haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu kama huu uliopita kama zinavyofanya nchi nyingine?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hebu tujiulize sakata la Mhe. Samweli Sitta na jinsi CC ya CCM ilivyojikanyaga hapo................Sasa tuna ushahidi ya kuwa CC ilikuwa na donge zito dhidi ya Mhe. Sitta na kauli za Makamba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
ZIKIWA zimebakia siku mbili kabla ya kufanyika uchaguzi wa ubunge katika majimbo ya Mpanda Mjini na Vijijini, mawakala 22 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wameshindwa kuapishwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Miaka 15 ya mfumo wa vyama vingi Tanzania. Mengi tumeyaona, lakini yaliyotokea juzi na jana kule Dodoma yamenipa funzo kubwa kwamba upinzani Tanzania umejaa waganga njaa na wanafiki wanaoweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge anayetoka zanzibar anaingia kwenye bunge la jamhuri ya muungano kujadili mambo yanayo husu muungano tu? na kama ndivyo inapofika kwenye masuala ya Tanzania bara kuna mpaka gani unaowazuia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo: 1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao. 2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kupata ufafanuzi hapa. Hivi kwanini Seif aliapishwa na Shein? Je inawezekana shein akamfukuza umakamu Seif? Hicho cheo cha seif kinampa wajibu gani katika serikali (SMZ)? na katika SMT seif...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu niliwambieni hapa week iliyopita kwamba SITTA HATAPITISHWA NA CC YA CCM. hizo habari sikutabiri zilikua za kweli mana ni kutoka kwa mkuu mmoja wa ndani ya chama chao. Leo tena nimepata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, inatarajia kuunda baraza la mawaziri lenye wizara 14 ambazo zitagawanywa baina ya CCM na CUF kwa uwiano wa asilimia ya idadi wa wawakilishi katika Baraza la...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom