kama mashabiki wa jk walisherehekea ushindi wake kwa sbb tu aliwashinda akina dk ws na wenzake, basi ninaweza kusema walifaidi unono huo kwa 100%.
ni ukweli usiopingika kwamba sekunde ya kwanza...
Pamoja na ushindi wa kuridhisha wa CHADEMA, ulioniduwaza zaidi ni wa NCCR Mageuzi. From no where, chama tulichokuwa tunakiona kimekufa, kimeweza kuibuka na kubeba majimbo matatu (kama sio mawili)...
1. Hakikisha mnafungua matawi na kuhamasisha ujenzi wa ofisi katika majimbo yenu. Angalau kila kata iwe na chumba cha ofisi.
2. Fanyeni kazi kwa nguvu ili watu waliowachagua waone tofauti ya...
Namna hawa majangili walivyochakachua kura inadhihirisha namna hawa mafisadi papa walivyo na nguvu,au wanafadhiliwa na freemason a.k.a viongozi wa ulimwengu?Watatumaliza hawa jamani,kama...
Katika vitabu vitakatifu, kitu ambacho hutakatifuza watu, yaani husafisha najisi huitwa sadaka. Kwa miaka michache takukuru imekuwa ikafanya kazi ya kutakasa watu. Yaani mtu anakuwa na tuhuma...
Jana nillikuwa katika jimbo la uchaguzi la karatu na nilikutana na watu wengi wenye maswali yafuatayo.
1.Je matokeo yaliyotangazwa na tume nec yanatofauti gani na matokeo kwenye vituo?
2.Je Dr...
Wenzetu Kenya wanateswa na genge haram la mungiki genge hili lime weza kuingiza wanachama wake kwenye nafasi nyeti za uongozi nchini Kenya bungeni hata kwenye baraza la mawaziri, hapa kwetu kuna...
Dr Shein amemteua maalim Seif kuwa makamu wa kwanza wa rais na balozi Seif Idd kuwa makamu wa pili wa rais... government of national unity in the making
Kuna tetesi kuwa Lowassa anajipanga kugombea Urais 2015 na hivyo anamuandaa mtu wa kumuachia Ubunge wa Monduli.Mikakati yake ni pamoja na kuwawe watu wake kwenye Bunge,Ukuu/Ukurugenzi wa...
Ingia kwenya mtandao huu;
http://FreeOnlineSurveys.com/rendersurvey.asp?sid=llctjh117rjrhpm831560
kisha piga kura ya maoni juu ya nani anafaa kuwa spika wa Tanzania, Tafadhali watumie watu wengi...
Monday, 08 November 2010 01:07 0diggsdigg
Dk Willbrod Slaa
Salim Said
JOPO la viongozi wa dini limefanya ziara ya ghafla kwa aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Wiilibrod...
Viongozi wa dini wamtuliza Dk Slaa
Monday, 08 November 2010
Salim Said
JOPO la viongozi wa dini limefanya ziara ya ghafla kwa aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Wiilibrod Slaa...
Wana JF mi huwa najiuliza CCM ina mali nyingi ambazo wazazi wetu na sote tulizichangia km vile viwanjavya mipira (Jamhuri, kirumba nk) ofc nyingi tu. Je kuna uwezekano zikarudi serikalini maana ni...
Wana jamii,
Wale ambao hamjafika kwenye ofisi za ubalozi wa Bongo mjini Washington DC, mnaomba kupita hapo siku moja. Ukiingia ndani utaona floor imepigwa carpet la nguvu na kuta zinameremeta kama...
Hizi ni ahadi alizotoa JK na CCM kwenye kampeni ya mwaka huu 2010. Sasa kama utekelezaji wake ni zero au hafifu au kwa kiwango cha chini na kuwapima 2015 kwa haya je, utakuwa ni uchochezi au...
Watanzania wamebahatika kuwa katika nchi yenye kila namna ya utajiri. Mali asili nyingi zinatumiwa na watu ili kujiingizia kipato.
Moja kati ya maliasili zetu ni maziwa ambamo mwamo tunavua...
Ndugu zangu wote mliopenda na kutamani kuiona Tanzania mpya, nawapa hongera kwa kazi nzuri sana ngumu ambayo mmeifanya.
Nimepokea huu ujumbe mzuri na naamini utawafaa katika kipindi hiki...
Nimefuatilia nyendo za mbunge mchaguliwa wa jimbo la Monduli Edward Lowassa tangu alipofika Arusha saa chache kabla NEC haijatangaza mshindi wa kiti cha ubunge wa jimbo la Arusha mjini. Inaonekana...
Wana JF;
Nimerejea baada ya safari ya takribani wiki mbili ili na mimi niweze kutumia vema haki yangu ya kupiga kura. Nikishapiga kura naondoka tena nikaendelee na harakati za maisha.
Nimesikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.