TUMEMALIZA uchaguzi lakini ni vizuri Watanzania tukawa makini sana na wanasiasa, kwani wengi hawa ni waongo.Wanatoa ahadi nzuri, vitendo vyao kwa walio wengi si vya kuridhisha.
Nafikiri...
Kwa mafanikio makubwa kabisa ya W.P. Slaa (PhD) aliyoyapata ktk siasa za Tanzania, Napendekeza sote tumwandalie sherehe kubwa kabisa ya kumpongeza. Pia yawepo maandamano kila mkoa ya kumpongeza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete
Kazi kubwa inayomkabili Rais Jakaya Kikwete baada ya siku chache zilizopita kuapishwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano kwa kipindi...
Salamu za pongezi zaendelea kumiminika
Tarehe: 8th November 2010 @ 21:15 HabariLeo
SALAMU za pongezi kutoka ndani na nje ya Tanzania, zimeendelea kutolewa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...
1. Andaa vielelezo vyote vya wizi wa kura uvisambaze kwenye Ofisi za kibalozi na jumuia za kitaifa na kimataifa.
2. Uwe makini na sheria za kifisadi za TZ za kumuweka mtu kizuizini kwa machafuko...
katika facebook yake,Dr Salaa ameandika hivi:
Tunaulizwa kwaninii hatukushiriki kutangazwa au kuapishwa kwa JK
Tungeweza vipi kuhudhuria kutangazwa kwa mshindi au kuapishwa kwa Rais ambaye...
TUKURU wanapingana na hii report? SFO Report on the Radar Saga
Sidhani kama Report ya Tukuru inatoa maelezo makini kufanya hii report kuwa imekosewa. Ni kwa manufaa ya nani wanafanya haya?
Kufuatia babari na taarifa zilizo patikana kutoka kwa mawakala wa mgombea wa CHADEMA, wametua tawimu zilizo kusanywa nchi nzima na zinaonyesha kwamba mgombea wa chama tawala CCM J.M. Kikwete...
Hivi ndivyo majadiliano kati ya Kikwete, Bilali na Waziri Mkuu yatakavyokuwa wakipanga cabinet :
Kikwete : Safari hii Bwana tunaunda baraza lenye Mawaziri Hamsini, na manaibu 100
Waziri...
Tangu jana jioni tumeanza kuhabarika kuhusu kusafishwa kwa Mh. Chenge juu ya shutuma ya radar uliyokuwa inamkabili, naamini kusafishwa huku kumekuja wakati huu bwana mkubwa ana wania ukuu wa...
TOFAUTI ambazo zimekuwapo kati ya viongozi wawili wa
ngazi za juu wa Chadema, Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu wake, Kabwe Zitto, sasa zinahamia bungeni baada ya Zitto kutangaza nia ya kuwania...
ALIYEKUWA mgombea wa ubunge Jimbo la MusomaNMjini, kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Mustafa Wandwi, amemtaka aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Dk...
Kumbe wakati matokeo yalipoanza kutangazwa na kuonekana jk anatupwa mbali, mkuu alizirai na kwa mara ya kwanza madaktari wake wakagundua analo pia tatizo la presha na kkisukari, ndo maana nec...
Wandugu nilishtushwa na maneno ya bwana chenge ya kwamba waingereza na serikali ya tanzania walishamaliza uchunguzi wao na yeye hausiki na swala la radar.
Na leo pccb imetoa tamko kwamba ni...
Wana JF NAWASALIMU NA KUWAPONGEZA KWA KUFANIKISHA UCHAGUZI KWA AMANI ingawa najua kuna waliofurahia sana matokeo na kuna walioumia, binafsi nimeumia sababu nilipenda mabadiliko lakini maisha...
baada ya matokeo ya ushindi wa ccm kutangazwa tandahimba cuf wapingana na matokeo kwa kufanya vurugu wachoma nyumba na gari la mshindi moto...
hiyo ni demokrasia gani?
Nimekuwa nikifuatilia maoni ya wanaCHADEMA, humu Jf na hata mitaani, na wengi wanalaani kushindwa uchaguzi wa mwaka huu na kusema tusubiri 2015, CCM itaanguka.
Ninachotaka kuwaasa ndugu zangu...
Jamani kuna tetesi ya mtu muhimu mmoja wa chadema aliekuwa akifuatilia database in making comparison of what has been published by NEC has been lost since yesterday.
A case has been reported to...
Akihojiwa na BBC kwamba watawafanyia nini Watanzania kiasi cha kukifanya Chama chake kionekane cha maana tena mbele ya umma na hivyo Watz wakipigie kura 2015, Makamba(Yusuf) alisema:
"...
Pamoja na Sera za msomi Dr. Slaa kuwa nzuri na Mkwere Kikwete kuzikubali, atakuwa na ubavu wa kujitenga na mafisadi na kuteuwa baraza dogo la mawaiziri pamoja na speaker wa bunge ambaye si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.