Hali ilivyo sasa nchini Tz, Inaonekana kwamba adui mkubwa wa mabadiliko tunayoyahitaji ni ujinga wa watz walio wengi. Mfumo wa chama kimoja bado ungalipo vichwani mwa watanzania. Hawajafahamu...
mimi nimekaa najiuliza: hivi kwa nini tume ya uchaguzi - NEC isiwe na database (benki ya taarifa) ya uchaguzi kwa vituo vyote kwa ajili ya transparency na future reference. Mimi siyo mtaalamu wa...
Waslaaam wananchi wote JF,
- Bado tunaendelea kutafakari kilichojiri kwenye huu uchaguzi wa wabunge na Rais, baada ya kuyasikiliza kwa makini sana matokeo:
- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito...
Again, Jamiiforums owner / moderators, if you want my post to change, tell me to change it, or if you disagree with what I have posted, delete it. For you to post things and attribute to my name...
Nimeshtuka kidogo, baada ya kuona kwenye TV Rostam akijitetea kuwa siku anayodaiwa kufanya kikao Mwanza tarehe 19 alikua Afrika Kusini toka tarehe 16 October. Kilichonishtua ni kwamba tarehe 17...
Nchi gani ambazo zimeshamtumia Rais Kikwete salamu za kuchaguliwa kuwa rais??
Zimbabwe(Komredi Mugabe)
Kenya (Kibaki)
Botswana
SA(Zuma)
DRC congo(Kabila)
........
........
DR SLAA.:A S cry:
Naomba usiwaendekeze sana hao waliotuibia kura zetu halali na kujipachika ushindi kimabavu. Zungumza nao na uwasome machoni kama wana la maana la kukueleza ili kulisaidia taifa...
Tunajua Tanzania mahakama ziko influenced na Wanasiasa. Owongo kwamba mahakama ziko huru.
Hata hivyo, namshaurui Dr Slaa afungue kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi-au haiwezekani kikatiba?
Kama...
kaka kitila mkumbo nakuheshimu sana na hasa kipindi ulipokuwa pale
chuoni uliyafanya kazi nzuri sana kama rais wa Daruso. nakuomba unipitishie
maoni yangu haya kwa wateule wetu wa chadema. hatari...
Election won by Mandela 'rigged by opposition'
The South Africa election which spelt the end of apartheid and brought Nelson Mandela to power was marred by vote tampering in favour of the white...
Naona kuna haja ya kulijadili ili jamani bse ni aibu.
Kwa kuanzi point zangu
I. NEC haikujipanga vilivyo kutoa elimu ya uraia the next question comes are they unfit for the job...
Labda gazeti la leo la Mwananchi liwe limefanya makosa ya uchapishaji lakini kama hakuna makosa basi hii NEC ni kiboko kabisa au nisema ni moto wa kuotea mbali......................
Katika jimbo...
Watu 17 washikiliwa kwa kutaka kuandaa maandamano 05/11/2010
Watu 17 wakiwemo Diwani mteule wa kata ya Mtibwa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tusekile Mwakyoma na...
Nimeangalia picha ya watu waliohudhuria sherehe za kuapishwa Jk kama Rais wa Tanzania. Picha hizo zilinishtua pale nilipoona watu wamevaa mavazi ya CCM na kubeba bendera za CCM. Nikajiuliza, hivi...
1. kwanini wakina Makame walikuwa wanakosea na kutojiamini wakati wa kutaja matokeo..?
2. kwanini M'bunge apate kura mara kumi zaidi ya mgombea wake wa urais.....?
3. Kwanini Lipumba ametoa baraka...
Mwenye kuweza kunisaidia kuweka job descriptions za hawa wafuatao itakuwa furaha kwangu
1. Waziri
2. Mbunge
3. Diwani
4. Meya
5. Katibu kata
6. Mtendaji
7. Balozi wa nyumba kumi kumi
Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.