Katika medani ya siasa inapobidi, vyama vya siasa hasimu huona ni heri kufunga ndoa ya maridhiano, (marriage of convenience) ili kuepusha balaa.
Ndoa hiyo ya maridhiano inayo mifumo mingi. Mfumo...
Kama JK angeniomba nimchagulie mawaziri kumi ningechagua wafuatao.
Waziri mkuu - Mark Mwandosya
Fedha - Mustapha Nkulo
Nje - Bernard Membe
Ndani - January Makamba
Madini - John Magufuli...
Tanzania electoral commissions under fire over handling of poll
The East African, 8 November 2010
Controversy over the two Tanzanian electoral commissions and alleged Special Branch...
Wimbo wa kichaa kweli. Tena kichaa kama Malaria Sugu.
Watz wenyewe wamejua. Kuwa wimbo huu ni wa kichaa tu.
Kwamba chadema ni cha kikabila. Eti kabila. Kabila gani? (Lyehaga nasege tam).
Eti...
Wakuu punde Dr. Slaa ataanza mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu uchaguzi mkuu pale makao makuu ya CHADEMA Kinondoni, kwa wale mliopo huko tupeni update...
Mungu uko wapi. Mbona Tanzania inaanza kupoteza mwelekeo kwa haraka? Watu wanapenda mali na madaraka na UPENDO baina yetu unafifia. Au ndo utimilifu wa maandiko Matakatifu kwamba siku za mwisho...
TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYA HABARI NOVEMBA 5, 2010
Novemba 3, 2010 mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa aliwatuhumu makada 30 wa Chama Cha...
LEO MAGEZETI YOTE YA US NA UK; Hayasemi kitu chochote kuhusu Ushindi wa JK
Wameweka Story Muhumu kama William Ruto aenda THE HAGUE kujitetea kuhusu Mauaji wakati wa Uchaguzi Kenya; Kuhusu Mtalii...
Ndugu Wana JF, na hasa wana-mageuzi.
Malaria Sugu amejipambanua kuwa ni mtu mwenye dharau anayependa kukebehi na kusifia upuuzi.
Ninashauri tumkatae. Tumdharau. Tusichangie 'pumba' zake.
Au...
Chadema kimetokea kuwa chama kikuu cha upinzani Tz. bara, na chachu yake imeamsha upinzani nchini. Hata vyama vingine vya upinzani vimefaidika na chachu hii. Hii sio habari nzuri kwa CCM...
maamuzi tuliyofanya wewe,mimi pamoja na watanzania wengine jumapili iliyopita yanaweza kuwa ndo hayo yametangazwa na nec kuanzia jumatatu iliyopita na yakahitimishwa na ya urais nasema yanaweza...
Tunaelekea ukingoni kwa hiyo kwa wale waliofurahi tumieni hii weekend kwa hilo ila tu Jumapili mpumzike, kwa wale wenye huzuni fanyeni maombolezo ila tu muinue tanga Jumapili, kwa msio na mwelekeo...
NILISIKITISWA SANA NA KITENDO CHA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUTOWARUHUSU WANAVYUO WALIOKUWA WAMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KUPIGA KURA SEHEM NYINGINE KAMA HAKI YAO YA MSINGI NA...
Mhe. Rais,
Awali ya yote ninaomba nitangaze rasmi kwamba nimeamua kukubaliana na matokeo yaliyokuwezesha kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya pili tena. Malalamiko...
Ukifuatitia takwimu za makadirio nilizozifanya za wagombea wa URAIS wiki mbili kabla ya uchaguzi, utagundua kwamba Mh Kikwete nilimpa 62%. Ukizingatia matokeo halisi ya kura yaliyotangazwa leo na...
Kutokana na kukubalika kwa Dr.Slaa na sera za chama chetu, Wazee wa Mbezi Juu tukishirikiana na vijana tuna jenga tawi la chama chetu.. Pia tutachukua kadi za uanachama wa wa Chadema...
THE FOLLOWING ARE SOME OF THE REASONS I BELIEVE JUSTIFY THE DISMANTLING OF NEC TO PAVE WAY FOR AN INDEPENDENT ELECTION COMMISSION MEAN WHILE A PEOPLES INTERIM ELECTION COMMISSION BE APPOINTED...
Kama hajaomba kuitwa Dr au hatumii Dr basi tusilazimishe jina la Dr basi tu ili tumfananishe na wakina Dr Slaa. Dr Slaa anakipaji cha hali ya juu na kasomea PHD yake. Kikwete mwenyewe alimwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.