Ndugu zangu wana JF inadaiwa Lukuvi alimhonga pesa na gari mgombea wa CHADEMA ili asishiriki kwenye uchaguzi pia alitaka kumtumia huyu Kapwani kwa nafasi yake ndani ya chama ili aharibu pia Iringa...
Hali inaonekana ni tete sana baada ya Uchaguzi kwenye nchi yetu kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru. Kuna tetesi kwamba huenda JK akatangaza hali ya hatari kwa Taifa mara tu atakapoapishwa. Hii...
Picha hii hapa chini itadumu miaka mingi sana kuashiria nni namna gani watanzania walikuwa wakitaka mabadiliko ya kweli. Dogo huyu (mbele kabisa aliyenyanyua mkono kwa hisia) pamoja na kwamba...
Wanajukwaa la Jamii
Hatimaye NEC imetangaza matokeo yote rasmi ya Uchaguzi Mkuu 2010. Katika mchanganuo wa wapiga kura NEC imetoa takwimu zifuatazo:
Wapiga Kura Waliojiandikisha ni...
Nilikuwa Jijini Mwanza kwa siku kadhaa na niliyojionea sio siri ni mazito sana hata kusema,maana mengine nilikuwa ninasikia tu humu ooh wizi wa kura,ooh uchakachuaji,na mda mwingine nilijua tu...
Naanza kuandika hii thread nikiwa na huzuni kubwa sana. Najiuliza sipati jawabu kwamba imekuwaje na nini kimetokea kwenye Uchaguzi wa mwaka huu.
Kwamba eti Watanzania milioni 5 wamekubali tena...
Naona chama cha upinzani kuchukua madaraka kabla ya 2015 sijajua hasa nini nafunuliwa lakini naona kuna uwezekano mkubwa wa chama kimoja cha upinzani kuongoza nchi kabla ya uchaguzi mnaousubiri wa...
Document hii itasaidia kuwafanya watu waamini kuwa upigaji kura mwaka huu utakuwa ni wawazi zaidi. Na labda ndiyuo sababu inayowafanya baadhi ya watu kupata presha kubwa sana.
Ndugu wana JF,
Kama Dr Slaa akikataa kukubali matokeo ya uchaguzi uliomalizika punde na kutangazwa Kikwete ndio mshindi. Tunakumbuka jinsi hali ilivyokuwa kule zanzibar baada ya uchaguzi wa...
Kwa uchunguzi wangu ushindi wa CCM unafanikiwa kutokana na idadi ndogo ya wapiga kura wanaojitokeza kuchagua viongozi wa Taifa letu la Tanzania. Ukiangalia vizuri idadi ya watu waliojitokeza...
Wana JF;
Katika Uchaguzi Mkuu 2010 Dr. Slaa na CHADEMA wametoa changamoto na upinzani mkali tofauti sana na miaka ya nyuma. Uchaguzi mwaka huu ulikuwa na msisimko mkubwa sana huku kukiwa na...
Naona kuna haja ya kuwa kitu kimoja ili tuweze jenga nchi yetu ya Tanzania hasa baada ya matokeo ya uraisi bse kikatiba hayapingiki yakishatangazwa so ni kheri kuyakubali
Ila kwa vyama ambavyo...
:sad: Watanzania tumekuwa wapole sana kiasi kwamba tunatia huruma. Sio siku nyingi tume ya uchaguzi ilitoa majina ya watakaopiga kura kwenye vituo walivyojiandikishia. La kushangaza na ambalo...
Wakuu,
Nimemsikia JK akitoa kauli hii jana wakati akihutubia kwenye hafla ya kutangazwa pale Karimjee na leo kwenye sherehe ya kuapishwa pale uwanja wa uhuru.
Na kuna mahali kwenye hotuba ya leo...
Pole sana Dr. Slaa kwa kushindwa lakini inakubidi ukubali matokeo na kama umeonewa basi nenda kwenye tume ili uweze kufungua mashtaka.
Licha ya kupigiwa debe na baadhi ya makanisa uchwara yasiyo...
Hamad Rashid kuwania Uspika
Salim Said
ALIYEKUWA Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Hamad Rashid Mohammed, amesema huenda akachukua fomu ya kugombea kiti cha Spika wa Bunge la...
robert mugabe- zimbabwe
joseph kabila- drc
mwai kibaki - kenya
rupia banda- zambia
jacob zuma- south africa
wana jf tengenezeni similarity equation ya hawa viongozi waliohudhuria.i guess there is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.