Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sina Hakika kama nafahama sheria vizuri kuhusu jambo hili. kutokana na maelezo ya NEC wapiga kura wote waliopiga kura ni chini ya asilimia hamsini ya waliojiandikisha. najiuliza kuhusu validity...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
UCHAGUZI TANZANIA 2010 Jumuiya ya watanzania ugiriki inapenda kuitumia fursa ya uchaguzi uliofanyika 31/11/2010 kuelezea machache yafuatayo: Inatubidi watanzania popote tulipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
INASIKITISHA KUONA MAGARI NA PIKIPIKI ZA POLISI YANAYO SINDIKIZA VIONGOZI WA NCHI MABOVU ILE MBAYA,HIVI HATA HUYO KIONGOZI ANAESINDIKIZWA HAONI KUWA HANA USALAMA WOWOTE AWAPO KATIKA MSAFARA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani nani ni mtz lakini najiuliza kuna ulazima wa kwenda kushuhudia mafisadi wanavyoapishana?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ivi kumbe ivi vyama vina idadi sawa ya wabunge WHAT A COINCIDENCE Source. Parliament of Tanzania=
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya...
0 Reactions
103 Replies
10K Views
Today is Saddest Day of Democracy in Tanzania, Je inamaana gani nchi yetu kuendelea kupelekwa kibabe na watu wachache ambao hawaeshimu chaguo la wananchi? Kwa kutaka waendelee kubaki kwenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
"Mdogo wangu Bashiri ndiye aliyenikinga na bomu na hivyo yeye kujeruhiwa. alinivamia alipoona wamenilenga mimi na kurusha mabomu kule nilipo mie" Zitto Kabwe amabye ndiye Mbunge mteule kwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Sasa tayari washajitawaza jamani mi nasubiria nione wezi watakao pangwa kwenye hilo baraza la mawaziri. Sio ajabu huyu mtu asivyo na aibu akawarudisha wale watuhumiwa wa ufisadi kwenye baraza la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza nampongeza Dr.Slaa kwa ushindi aliopata japo kaporwa.Watanzania wenzangu wanakukubali wala usiwe na shaka kabisa Pili naomba nianze kwa kutoa ushauri kwa Dr.SLAA aanze kuunda baraza la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
:israel: Dr. Slaa atafanya ‘press conference’ na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili. Mahali ni Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Dr. Slaa amesema sio kawaida yake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
juzi na jana watu wengi maarufu na ambao wakikohoa tu vyombo vya habari vinaandika hatimaye wanadai kuwa DR Slaa anazeeka vibaya we riz wa jk, we rost azim nyie uhai wa inji hii kweli leo Dr.Slaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dr. Slaa na chama chake cha CHADEMA wamezindua zama mpya katika ulingo wa siasa Tz. Ni zama za siasa za mabadiliko. Mabadiliko ya kifalsafa, na kisera yanayotoa mtazamo mpya na dira mpya kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba mniambie hayo majimbo 7 na kata 23 ambayo matokeo hayajatangazwa according tu nec tatzo nn?au hatujamaliza kuchakachua?
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Kweli hawa watu wa tume ni wajinga sana yani hamna kitu kabisa. Nafikiri masikio yao yalishabomoka. Hii habari toka mtanzania daima TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), jana ilimtangaza mgombea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF,kusema kweli nina hamu saaana ya kujua exactrly true results(un chakachuaji)ya mwaka huu for presidential level ili nione hali halisi ilivyo ya kisiaa nchini na ili niweze waonea huruma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetembelea website ya BBC kutaka kujua umaarufu wa Tanzania kwenye matukio ya kimataifa. Nimeshangaa hakuna taarifa hiyo. Lakini endapo watajua Robert Mugabe alikuwepo nina uhakika watatafuta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa nasikiliza habari ya mwenyekiti wa ccm akiapa uwanja wa uhuru. Pointi moja aliyosema, "wananchi waliopiga kura walitimiza haki yao ya kidemokrasia". Swali langu kubwa je si haki ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ni kama vile CUF wameshakata tamaa ya mbio za kuitoa CCM, so nigeshauli kama kuna uwezekano ingawa siwezi kuwafikia wakuu wa chama hiki, nigeomba kiungane na CCM ili kiweze kuunda CCMCUF ili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimefuatilia kwa makini sana uchaguzi wa mwaka huu. Nimevutiwa sana kwa jinsi shamra shamra na msisimko mkubwa sana. Hakika Tanzania tumekomaa kisiasa na tunaelekea kwema. Tatizo langu linakuja...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
Back
Top Bottom