Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna msemo usemao kilio cha samaki machozi huenda na maji. Lakini ni tofauti kwa machozi ya binadamu........ Hata kama mwehu atafariki leo kwa namna yoyote ile, ni lazima watatokea watu watambue...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Je, mnaikumbuka hiiiiiiiiiiii?????????
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kulingana na data za sasa hivi Tanzania ina watu wapatao milioni 40. Waliojiandikisha kupiga kura ni 20 milioni. Waliopiga kura ni 8 milioni. Waliomchagua JK ni milioni 5. Ukiangalia idadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zilizotufikia ni kwamba "dream team" a CUF iko bize kupanga nani ataingia kwenye baraza la mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa. Wakati maalimu Seif tayari ni Makamu wa Kwanza wa Rais...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Uchaguzi umekwisha na matokeo ya Tarime yanasikitisha. Chadema imezidiwa kura chini ya 1000 na CCM... hii inaweza kuwa ni kweli au vinginevyo. Lakini lililo dhahiri ni kwamba ushindi wa Chadema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msemo wa wajinga ndiyo waliwao umetimia tena kwa walala PUUUUU wa kitanzania. Kuna msemo waswahili husema "Nyumba isiyokuwa na choo haimzuii dalali kupangisha" Ujinga na umbumbu wa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Malalamiko katika kila kituo cha uchaguzi wa mwaka huu ni watu kuambiwa kuwa majina yao hayapo na bila maelezo. Tunaomba tume ijibu hii tuhuma rasmi tusiishie kusema tu watu hawakujitokeza...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Jamani tujulishane idadi ya wabunge wa chadema waliotangazwa na tume ya uchaguzi
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Vijana wawili wamepandishwa jana kwenye Mahakama ya mwanzo ya Viwawa wilayani Mbozi kwa kosa la kutembeza jeneza lililofunikwa bendera ya chama cha mapinduzi pamoja na msalaba katika mji mdogo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Umemsikia jk anasema vyombo vya habari vitibu majeraha ya uchaguzi!yeye hajatibu majeraha ya mtandao ya mwaka 2005 na ameongezea mengine,sisi majeraha yetu tutatibu uchaguzi serikali za mitaa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I'd love to appeal for Dr. Slaa to conduct Chadema's tasks and implement its plan as business as usual especially to strengthern Chadema. NEC ignored your concerns and now section 41(7) of the...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Ni ajabu, aibu, na kukosa uelewa kwa mtu anayesadikika kuwa na digrii ya uchumi (UDSM) (ambayo si amini kama aliwahi kupata) Kukubali kupewa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huku akijua...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mimi sioni kama kunafuraha yeyote kwa jamaa wa ccm kusherekea kitu walichokijua kinakuja?
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Hizi ni twakimu za uchaguzi mwaka 1995, ambapo Mrema alikuwa mpinzani mkuu: Mkapa - 61.82% Mrema - 27.77% - Mpinzani Mkuu Total votes - 6,846,681 Ukilinganisha na matokeo yaliyotangazwa leo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa wanajamvi la JF, napenda kuwapongezeni kwa kazi nzuri tuliyoifanya ya kukifikisha chama chetu na Rais wetu Dr. Slaa hapa tulipo hii Leo. Ni ukweli usiofichika kwamba CHADEMA tumemefanya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Igp
Jamani mi nilishangaa saana pia nilistuka saaana kusikia eti IGP kumbe ni shemejie JK!!! Sasa wadau naomba kujua nani kaoa kwa mwenzie kati ya JK na Side.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nakupa hongera zangu sana daktari, kwa kudhihirisha umahiri wako kisiasa, kwa watanzania, specifically wanachadema. wakati tumeshampata sasa rais wa tanzania, ni matumaini yangu basi wewe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pamoja na hisia kubwa zilizojengeka miongoni mwa jamii kuwa Dr. Slaa ndiye aliyeshinda kinyang'anyiro hiki cha Uraisi lakini tathmini ya kura za maoni za REDET SYNOVATE ambao ni wadau wa CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilisikitika hata mie baada ya kutangazwa matokeo yale, japo ndio hivyo ilishatamkwa Dr. Ally M. Shein Ndio Rais Mteule wa Zanzibar. Hamad alipoitwa alipongeza ushindi huo japo alitamka dhahiri...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Nina swali: Ipi rahisi cuf kuungana na chadema? Au cuf kuungana na ccm? Naomba supporting document
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom