Ndugu zetu Kenya wamefika mbali, mtu akituhumiwa tu, lazima ung'oke kuutumika umma, Tanzania sasa; pamoja na Chenge kuwa na tuhuma kibao kapewa fomu ya kugombea Uspika.. ili iweje? Agghhhhhh...
Wanabodi,
Pamoja na mimi kukubali sio Sheikh Yahya, lakini Dr. Slaa ataingia bungeni hivi karibuni kwa njia mbili kuu.
1. Kuteuliwa na JK.
Pamoja na JK kuwa ni mtu wa visasi, lakini waungwana...
Hawa waasisi wa CHADEMA wako wapi na wanafanya nini?
Nao tunataka watoe tamko lolote ama neno lolote kumsapoti Slaa. Hii vita sio ya Slaa na waleta habari peke yao. Waje hadharani tuwasikie nao...
Sasa tunakaribia mwisho wa matokeo na ni dakika yoyote toka sasa tutapewa ratiba ya kumwapisha JK, sio mbaya sana kwasababu amejiona yupo katika nafasi gani ndani ya mioyo ya watanzania, amejiona...
jana nilipata wasaa wa kumsikiliza huyu kibaraka wa CCM na serikali yake, Rajabu Kiravu wakati akijibu swali la mwandishi mmoja. Jamaa kwa kujiamini kabisa akasema jamii ya watanzania inafuga wezi...
Fisadi Kikwete aliposema hivyo alikuwa yupo sawa au ni kuidharau Jamii? Na kama ameidharau jamii je anafaa kuwa kiongozi wakati huko nyuma alishawahikuwa fisadi na bado ataendeleza ufisadi maana...
nimependa jana Kiravu alivyoweka mambo wazi juu ya shutuma za NEC akipewa support na Mwenyekiti msaidizi na mjumbe wa NEC profesa CHALIGA wametulia, angekua jaji tungempendekeza awe ndio...
Watanzania wenzangu,
Uchaguzi umeisha na sasa tunajiandaa kuanza safari ndefu ya miaka mitano, kwa ukweli safari hii binafsi naiona ni ndefu sana kiasi nahisi kukata tamaa mapema hasa...
Just curious!!! Hivi nani ni mgombea urais kati ya hawa? Mbona wote wana majukumu sawa ya kuinua mikono ya wagombea ubunge na kuwatambulisha kwa wapiga kura?
Sijaona Makamu mwenyekiti wa chama...
Nimesikitiswa sana na matokeo ya uchaguzi wa majimbo ya Iramba yaliyompa KIKWETE NA WABUNGE WAKE ASILIA ZAidi ya themanini.Ni wazi katika wilaya ambayo serikal imeisahau ni Iramba ,ACHILIA MBALI...
Wanajamvi,
namshukuru Mungu nimepiga kura jumapili iliyopita. Samahani kuwasumbua katika hili lakini nadhani litawasaidia wengi katika kipindi hiki, je ule wino tuliowekewa kama alama ya kupiga...
Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.
Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili...
Tanzania party accuses spy agency of vote theft
Tanzania Intelligence and Security Services (TISS) deputy director, Jacky Mugendi Zoka, adresses reporters when refuting allegations by Chadema...
Tarehe 31 October 2010 ilikuwa ni siku ya muhimu na ya kipekee kwa Tanzania na nchi washiriki. Ni siku ambayo watanzania tuliisubili kwa muda mrefu na hatimaye ikafika na sasa imepita. Ni siku...
Nimekuwa nikiona malalamiko mengi sana kuhusiana na posho za wabunge, mbona Tanzania kuna watumishi wengi tuu wa kawaida kabisa wanao pata wastani wa mishahara na posho zinazofika milioni12 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.