Sina budi kumpongeza Rais wa CHADEMA Dr. Willbroad Slaa kwa kazi kubwa aliyoifanya pamoja na team yake yote kukiunua chama.
Amefanya kazi kubwa sana kuhakikisha chama kinaongeza idadi ya viti...
Kwa mtiririko wa mambo yanavyoenda na matukio hasa ya uchaguzi mkuu, mh. Dr Slaa baada ya kuibua hoja ya kuhusika kwa TISS ktk hujma za uchaguzi , japo TISS wamemruka ni dhahiri watanzania...
Uchaguzi wa mwaka huu unatupatia mafunzo mengi sana. Matokeo ya udiwani na ubunge katika majimbo mengi yameishatangzwa. Katika majimbo mengi, hakukuwa na ulalamishi kwa sababu karatasi kutoka kwa...
Napenda kuwapongeza wana Ngara kwa kutumia vizuri haki yao ya msingi kumchagua mzee wetu mpendwa ndugu Deogratias Ntukamazina. Tuna uhakika mzee huyu atatumika vizuri kuleta maendeleo ya Ngara na...
Wakuu kama uvumi wa JK kuanguka Ikulu ni wa kweli, nashauri rais wetu aapishwe akiwa amekaa. Sidhani kama ni kosa kufanya hivyo. Au ni vizuri sherehe hiyo ikifanywa kisirisiri au iwe extra short...
Ndugu zangu uchaguzi umekwisha na matokeo yenye utata yamekwishatolewa na tume ya uchguzi. Matokeo hayo yana kila dalili kuwa yamechakachuliwa kwa nia ya kumuokoa mgombea wa ccm dr jakaya kikwete...
nashindwa kuwaelewa waandishi wetu wa habari, utasikia jk anaongoza majimbo, kwani kinachoamua ushindi ni majibo au idadi ya kura, je angekuwa ameshindwa kwa idadi ya majimbo lakini anaongoza kwa...
Niwazi kuwa whenga hawakukosea kusema kuwa KUCHAMBA KWINGI MWISHO UTASHIKA HAJA KUBWA. maana yangu hapa nikuwa kura zishapigwa na matokeo ndo kama tunvyosikia live n exclusive kutoka result center...
Mojawapo ya majimbo aliyoyataja Dr Slaa jana ni utofauti wa matokeo ya jimbo la Geita, katika pita pita yangu nimegundua matokeo ya Geita na jimbo la Nyang'hwale yanafanana kila kitu.
Je...
Wote tunaifahamu CCM na tambo zake pale inapopata ushindi wowote hata uwe mdogo kiasi gani. Ni TOT, taarabu,ngoma na kejeli kwenda mbele. Sasa wamepatwa na nini hawa jamaa? maana pamoja na...
Ndugu zangu nilikuwa napitia matoke ya urais katika website ya NEC nikaona kama vile data zinatofautiana na za ubunge nilizosoma kutoka vyombo tofauti vya habari kwa maana ya total casted votes...
VIGOGO WAWILI WA CHAMA CHA CCM WALIINGILIA KATI MATOTEO YA MAJIMBO TAJWA HAPO JUU, IMEFAHAMIKA. CHANZO CHETU CHA UHAKIKI KINADAI KUWASHUHUDIA WAHUSIKA HAO USIKU MKOANI MBEYA WAKATI ZOEZI LA...
Hongera Dr Slaa kwa ukomavu wa siasa, ila nadhani kuna tatizo la washauri wako wa karibu. Hivi inawezekanaje mawakala wasaini form 24A (provincial declaration) halafu wakwambie kura za jimboni...
Hili swala la CCM,NEC,UWT(Usalama wa Taifa) KUCHAKACHUA matokeo ya kura za Urais na Ubunge liko wazi kabisa na ushahidi upo.
Mifano halisi ni ucheleweshaji wa kutangaza matokeo kwenye maeneo...
Baada ya tabiri zake mbili za hivi karibuni kuhusu uchaguzi kuonekana ni za uongo, yule mnajimu ameanza kutapatapa. Kwanza alitabiri kutokuwepo kwa uchaguzi mwaka huu 2010, pili akatabiri kifo cha...
Mimi binafsi, NEC na wengine walio wengi tunaamini kabisa CCM imeshindwa kwa kiasi kikubwa ktk Uchaguzi ulifanyika pamoja na kwamba wanaoneka kuongoza. Nakumbuka kabla ya Uchaguzi tuliwasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.