Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wednesday, 03 November 2010 Elias Msuya MWANGALIZI mkuu wa wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Ulaya, David Martin amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kusitisha mara moja kutangaza matokeo ya urais kwa madai kuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni ukweli uliyo dhahiri kuwa zoezi zima la uchaguzi liliendeshwa kwa njia ambazo zinaonekana kukipendelea chama tawala na kwa sasa kilichobaki ni kwa sisi watanzania ambao tunataka kutoka kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani hawa ccm na nec yao nivipi maana utadhani hizi kura nimali yao Segerea baada ya kubana matokeo kwa muda mrefu sasa eti wao ndo washindi!!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika mahojiano kati ya BBC na Dr. Slaa leo jioni Raisi wetu Mtarajiwa Dr. Wilbard Slaa ametuhakikishia ya kuwa ameshinda Uraisi kwa kura zaidi ya milioni 15......... Akitoa mfano wa...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Natafakari, najipa jibu kisha najichukia kuwa Mtanzania. Hapa tunashutumiana: mara CHADEMA TUMECHAKACHULIWA.....mara CCM tutaongoza milele... mara hata nyie mkipewa mtafisadisha. Lakini swali LI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati huo huo, watu wawili akiwemo msimizi mmoja wa uchaguzi kutoka kata ya Segerea wanadaiwa kukamatwa na nyaraka kadhaa za tume ya uchaguzi, ikiwamo mihuri nje ya kituo cha kujumlisha kura cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Humu katika JF kuna baadhi walikuwa mawakala wa vyama wakati wa mchakato wa kura.nimefanikiwa kuona nakala za matokeo walizopewa mawakala baada ya kuzisaini.Matokeo yalibandikwa pia kwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania ni watu wanaopenda saana kupiga soga. Na hakuna kipindi ambacho michapo huwa mingi mitaani kama kipindi cha uchaguzi. Kwa bahati nzuri, kampeni za kuwania uraisi,ubunge na udiwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHADEMA KUPITIA REGIA MTEMA WAMECHUKUA JIMBO LA KIROMBELO. Kura 38,550 Hongera sana Mtoto G.S SOURCE:- IPP MEDIA, ITV
0 Reactions
118 Replies
11K Views
Can you imagine being a Chairperson, Director or a commissioner For NEC? what will happen after the current regime of Fisadis is out? People will not respect them neither their offspring. It is a...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Leo kwenye uwanja wa Azimio la Arusha kulikuwa na zoezi la kumsimika Bwana Godluck Ole Medeye ukamanda wa vijana Arumeru magharibi.Bwana G Medeye tayari katangaza atagombea ubunge katika jimbo la...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu zanguni wana JF, Mimi kama mtanzania nisiekuwa na chama sina budi kuchukua fursa hii kuwapongeza wananchi wenzangu kwa uvumilivu mlioonyesha katika kipindi kigumu cha uchaguzi hasa matukio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Swali. Nyundo ni alama ya kuua wasio waislamu? Jembe ni alama ya kuchimbia makaburi wasio waislamu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAWAZIRI wakuu wastaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji mstaafu Joseph Warioba, pamoja na mwanadiplomasia wa Kimataifa, Dk Salim Ahmed Salim, kwa nyakati tofauti wametoa maoni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NINASHANGAZWA NA USHINDI WA KISHINDO ALIYOUPATA BW. ROSTAM ABDULASUR AZIZI HUKO IGUNGA. NI KWAMBA JAMAA AMESHINDA BILA YA KUFANYA KAMPENI YOYOTE HAPO IGUNGA. UPINZANI ULIOONYESHWA NA CUF ULIKUWA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ROSTAM Iranian Hero From SAHNAMEH of hakim Ferdowsi Rostam (Persian: رستم) is a mythical hero of Iran and son of Zal and Rudabeh. In some ways, the position of...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kamusi ya kiingereza inasema hivi: 'the belief in freedom and equality between people, or a system of government based on this belief, in which power is either held by elected representatives or...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda nipate mawazo kutoka kwa wenye uchungu kama mimi ni lini watanzania watakubali matokeo na wasichakachue!!!!!
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Back
Top Bottom