Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wamarekani wameamua kuiangusha serikali za mitaa za Chama cha Obama, na wanaahidi Obama kutorudi madarakani kwa sababu ameshindwa kuwatimizia alivyowaahidi...! Iwapo watanzania tumemchagua JK kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuondoa hisia za "mwamba ngoma huvutia kwao" Chadema ninawashauri waajiri Ernst & Young au PRICE-WATERHOUSE COOPERS ambayo ni kampuni yenye sifa za kimataifa katika kufuatilia wizi wa aina zote za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani kweli inashangaza sana...............Pamoja na TBC1 kupitisha bango la kuwa NEC inaendelea kutangaza matokeo ya Uraisi sasa TBC1 wamesema haitaendelea kuonyesha zoezi hilo likiendelea kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Source: Mwananchi Thursday, 04 November 2010 08:55 Exuper Kachenje TIMU ya Waangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu (Temco) imetoa tathmini yake ya awali kuhusu uchaguzi huo uliofanyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu ulioanza katika ngazi ya vyama kwa kura za maoni katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), yamewaondoa mawaziri 10 katika nafasi za ubunge ambazo ndio kigezo cha kuteuliwa katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Source; Tbc Taifa. Kupitia taarifa ya habari iliosomwa kupitia Tbc1 Taifa, Kamanda Kova amedai kuwa kuna Vijana ambao wanarubuniwa kwa kupewa Pesa na wana siasa wasioitakia mema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maono yangu miaka mi5 ijayo:halmashauri zilizoleta mabadiliko na kutwaliwa na chadema zijiandae kufunga mkanda kwani iwapo CCM itashika dola basi ni wazi itatumia mbinu zote chafu ili kuonyesha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimemsikiza kova akilamba miguu ya mafisadi kwa mtindo wa "mtumikie kafiri................" Hajui uchungu tulio nao kwa kuporwa haki yetu. Mimi nina mfano halisi: Makongolo Mahanga siyo mbunge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) jijini Mwanza kimeshinda jumla ya kata 11 kwa nafasi ya udiwani kati ya kata 19 zilizoshiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kwa upande wa CCM...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na matokeo ya Urais ambayo Nec inatangaza hayaendani na yale ya forms za mawakala hiki ni kitendo cha aibu na ni dhambi kubwa sana, chombo hiki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa wabunge wenzangu: ilikuondokana na suala la uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi YAFUTAYO NI MUHIMU; 1: Uchaguzi ufanyike ndani ya mwezi mmoja. 2: Kila mkoa uwe na siku yake ya kufanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa uhalisia ni vigumu kwa Makame kusitisha zoezi la uhesabuji kura, kutokana na kuteuliwa kwake na kikwete. Hata amri ya kuchakachua matokeo inatoka kwa JK, Makamba na Kinana.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni bahati nzuri kuwa uchaguzi wetu hapa Tz umefanyika karibu kipindi sawa na ule wa nusu muhula (mid-term) wa marekani. Ni ukweli usiopingika kuwa umaarufu wa Barack Obama umeshuka na hivyo chama...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Uzoefu na uchungu nilioupata kupitia uchaguzi huu umenifanya niamue kuingia kilingeni, labda upinzani unakosa maandalizi majimboni, unakosa wagombea wenye uwezo na unakosa mkakati wa kisayansi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani leo mbona police wengi mitaani? KUNANI?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Matokeo yanaendelea ... Makadirio/Wapigaji 20,445,725 P. Mziray 65,276 J. Kikwete 3,544,673 W. Slaa 1, 234,254 I. Lipumba 589,451 H. Rungwe 13,809 M.MUHANYWA 9,740 F. Dovutwa 6,607...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uchakachuaji. Neno hili litakaa sana vichwani mwetu na kukumbukwa kwa muda mrefu sana na itakuwa vigumu sana kwa CCM kujivua mapokeo mabaya ya neno hili. Ni uroho wa madaraka, uchu wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafakari, najipa jibu kisha najichukia kuwa Mtanzania. Hapa tunashutumiana: mara CHADEMA TUMECHAKACHULIWA.....mara CCM tutaongoza milele... mara hata nyie mkipewa mtafisadisha. Lakini swali LI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa ya matokeo ya Urais yanayotolewa na tume si sahihi......ni tofauti na yale yaliyobandikwa kwenye sehemu za uchaguzi, hili liko wazi kwani ushahidi upo! hata jana Lewis Makame alipoulizwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama tunavyojua kuna waangalizi kutoka nchi mbali mbali nchini waliokuwa wanafuatilia uchaguzi wetu uliowanyika juzi 31 oktoba. Kundi la waangalizi kutoka umoja wa ulaya wametoa ripoti yao hivi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom