Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna tetesi kuwa karagwe CCM wamechukua jimbo, hii ni baada ya kijina wa CHADEMA aliyekuwa akiongoza kwa tofauti ya kura 500+ kukubali kurudia kuhesabu kura, hii inatokana na Mh. wa zamani (Sr...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Waungwana kwa matokeo yanayoendelea kutolewa na tume, bado ninawasiwasi na watanzania kama kweli wanataka kujenga nyumba bora. Slaa aliahidi kushusha bei ya simenti na bati, lakini kinachoendelea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Marando yuko sahih, kama mawakala wao wanayo matokeo ya kila kituo, ni rahisi kuyajulisha upya na kutoa tamko. Wasitoe tamko kabla hawajawa na exact figures, wakikuta kuna utata wanaweza kutosaini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati rais jakaya mrisho kikwete anahojiwa na waandishi wa habari wakati wa kampeni 'live-itv' alisema: "kama kila chama kina mawakala wake vipi kura zinaibiwa?" ukiona hivo ujue hao mawakala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna njia nyingi zinazotumika kuchakachua matokeo na njia mojawapo ni ile ya kubadili masanduku na kisha kutaka kura zihesabiwe upya na njia kuu ni ile ya kubadili takwimu. Nitaongelea njia hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa najaribu kujiuliza kwanini kuanzia jana mchana mapambano ya kulazimisha ushindi kwa CCM na hasa kuwanyima Chadema ushindi wao hasa katika majimbo ya Segerea, Kigoma Mjini, Karagwe, NGara...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Jamani siyo kweli kuwa Dr. Mary Nagu kaangushwa. Nagu ameshinda tena kwa kura nyingi, ila Rosemary Kamili wa CHADEMA amekataa kusaini fomu za matokeo. Matokeo: Nagu CCM: 38,000 + Kamili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katiba ya Tz mparaganyiko wa hali ya juu. Kama JK bado ni raisi wa Tz mpaka leo then akishinda anaapishwa kwa ajili ya nini wakati bado hajautema huo uraisi. Na sasa JK anatambulika kama nani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa utaratibu wa kawaida miaka yote huwa naona kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika huwa rais wa jamhuri anatangaza kuvunja baraza la mawaziri na makatibu wakuu wanakaimu kwa muda mfupi. Lakini mwaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huyu mbunge aliye maliza muda wake tarime bWANA Mwera Charles Nyanguru KAHAMA CHADEMA NA kakimbilia CUF kwaajili ya kupata tu fursa ya kugombea baada ya kuboronga katika kipindi kilicho pita na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani wana JF imekuwa muda mrefu sana sijasikia matokeo ya mpanda kati,ambapo makamu mnyekiti wa Chadema alikuwa anatetea kiti chake.Mwenye taarifa atujuze,ili tujue hali ya mpiganaji wetu!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama ilivyokuwa katika chaguzi tatu zilizopita, katika uchaguzi huu CUF ilikuwa imeshinda. Habari zinasema kuwa Maalim Seif alikuwa amepata 54%. Wapenzi wa CUF kama kawaida yao walianza...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Wadau, nauliza: Jee, hii Tume ya Uchaguzi (NEC) ingekuwa ndiyo imeteuliwa na Mwenyekiti wa Chadamea, badala wa yule wa CCM, jee matokeo ya uchaguzi huu yangekuwaje? Kwa wale ambao wako tayari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninamshukuru Mungu sana maana yeye si mtu hata aseme uongo. Kwa jinsi ya kibinadamu macho yangu na ufahamu unaona yafuatayo katika matokeo yanayoendelea kutolewa. Tume ya uchaguzi inataka...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Yaani inasikitisha jinsi software ya uchaguzi ya NEC ilvyojaa wadudu(bugs)!! angalia jinsi wasimamizi kule Kilombero walivyoshindwa kuitumia na mwishowe kuamua kujumlisha matokeo ya vituo kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia uchaguzi huu wa TZ kwa karibu, kuna jambo moja sijaelewa, je kama results ni tume tu inasoma i mean za urais, sasa nani anafuatilia kama tally iliyopatikana mkoani au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwenu Watanzania wenzangu mnaoitakia mema nchi yetu, Kuna maneno ya ushawishi yameanza kuenezwa kupitia kwenye mtandao kwamba Dr. Slaa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo watumie uungwana kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma Matokeo Tunduru Kaskazini Kikwete amepata kura 22,261 Slaa amepata kura 1,965 Lipumba amepata kura 12,935
0 Reactions
31 Replies
3K Views
KAMA KURA ZIMECHAKACHULIWA MBONA KWENYE MAJIMBO AMBAYO WANANCHI WAKE WANAUCHU WA MAENDELEO WAMEING'OA CCM? mimi nasema sidanganyiiikiiii
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom