Dr. Slaa hatoshinda ktk uchaguzi huu kutokana na sababu zifuatazo..
Hofu ya kuibiwa kura.
Kuchelewa kutangaza nia.
Hamasa ya vijana kabla ya slaa kutangaza nia ili kuwa ndogo. Nk.
Wabodi,
Wabunge wateule tayari wameshatinga ndani ya nyumba-mtandao!
Unaweza kuwashuhudia
http://www.parliament.go.tz/bunge/elected.php
Hiki ndicho NEC walitakiwa kukifanya tangu Jumatatu...
Napenda kuchukua nafasi kwanza kuipongeza jf kwa kazi nzito inayofanya,kweli mmetupeleka hatua 100000......... mbele sasa watanzania wengi wanaifahamu na kufuatilia mambo mengi kupitia hapa,nina...
Hili swala la kuchakachua matokeo waziwazi,ambalo linafanywa na ccm,(chama cha mafisadi)mwisho wake ni nini?Au wao wanafikiria kuwa kila siku ni jumamosi au jumatatu?Watanzania wa leo (2010) siyo...
jana prof alikuwa akivinjari ktk mitaa ya moro kwa mara ya mwisho. msururu wa pikipiki na magari ulimsindikiza ktk mitaa ya manispaa ya morogoro. watu wakimwita rais nae alipunga mikono akikubali...
MISSION:
To safeguard democracy and maintain integrity of Electoral System in the country by co-ordinating and supervising voter registration, constituency demacration and election related...
Habari zenu wana JF,
Nikiwa kama kijana mpenda maendeleo ya nchi yangu nmekua nikijiuliza maswali mengi sanaa kuhusu nchi yangu na at times nakosa majibu kabisaa.Huwezi kuifikiria tanzania bila...
Kuendelea kuikumbatia ccm kulikooneshwa na watanzania licha ya ulaghai wa miaka nenda rudi nimekufananisha na maudhui ya wimbo wa mwanamuziki machachari wa kimarekani eminem unaosema i love the...
Hatimae imefahamika kwamba kumbe ile tuliyokuwa tunaambiwa ni saa ya ukombozi ama ni ya kichina au iliwekwa betri za kichina baada ya kuonekana mwendo wake kusuasua kiasi cha kutishia ule...
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha. TEKELI, umepimwa katika mizani nawe...
Namshauri Mh.Lowassa katika kufanikisha harakati zake za kujisafisha aandae kongamano katika kanisa lake na kutangaza kutubu waziwazi na kuahidi kurudisha mali yote aliyopata isivyo halali kwa...
Tanzania Daima la leo limeripoti matokeo haya ya awali pamoja na utata wa uhalali wake CCM imemgwaya Dr. Slaa kwa mchango wake katika kupanua demokrasia hapa nchini...........
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.