Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana JF, Mpaka sasa nashindwa elewa vyombo vya habari vinaendelea kujurisha mchakato mzima wa kupiga kura nchi nzima ila cha ajabu mpaka sasa hivi vyombo vyote havija tuonyesha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya watanzania hii leo wamepokea simu inayodaiwa kutoka kwa mh. Kikwete akiomba apigiwe kura itakayomrudisha madarakani kwa kipindi cha pili. Nashukuru Mungu sikupigiwa simu hiyo. Jambo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau tangu juzi nimekuwa nikipata shida kutazama baadhi ya blogs za TZ, je inawezekana kuna kampuni zimeblock zisionekane?? blog ya francisgodwin sasa ya issamichuzi au wenyewe wamezitoa ukumbini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana usiku NEC wametangaza kuahirisha uchaguzi katika majimbo matatu na kata nyingi tu mpaka tarehe nyingine itakayopangwa na kutangazwa hapo baadaye. Sababu ya kuahirisha ni ukosefu wa vifaa...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Mgombea ubunge katika jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CHADEMA Regia Mtema atapata ushindi mkubwa dhidi ya mgombea wa CCM Abdul Mteketa. Regia Mtema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja kushawishi na...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Wana JF leo hii asubuhi saa mbili na nusu hivi, nimepokea simu toka kwenye mtandao wangu wa zain, ikasema "helo subiri mhe kikwete anataka kuongea na wewe kisha nikamsikia kikwete akijieleza na...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
  • Closed
Sorry guys, The uchaguzi.or.tz site is currently down but it will be UP soon. Thanks for your understanding. Meanwhile, we will keep you posted on all events on JamiiForums
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kinachotia moyo ni kuwa wanaotaka mabadiliko siyo wapiga kura hata wasimamizi wa uchaguzi nao wanataka mabadiliko na hivyo msidhani watu wanaweza kuleta uzembe fulani na wakaachwa vile vile...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Askari polisi wa Moshi mjini amekamatwa na vitambulisho kadhaa vya kupigia kura. Polisi walipata taarifa kutoka kwa wasamaria wema juu ya kuwepo kwa kadi hizo. chanzo: tbc1
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanabodi, Nategemea Tanzania itaishangaza dunia kwa kuwa na uchaguzi ulio huru na wa amani!
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Tanzania bado tunasafari ndefu sana kufikia demokrasia ya kweli. Kauli aliyoitoa Mkapa kwamba kipindi cha uongozi wakae hakuwa tayari kuwa na Serikali ya Mseto simply b'coz hakuwa tayar kuona...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu, nimemaliza kupiga kura, na pia nimepita katika vituo kadhaa jimbo la kawe, lakini nasikitika kusema kuwa idadi tuliyoitegemea katika uchaguzi huu ni ndogo sana sielewi tatizo ni nini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipo kwenye kituo cha kupigia kura hapa shule ya Nkuhungu, waliojitokeza ni wengi lakini vijana wametia fora! Taratibu zinakwenda vizuri na majina yapo yanaonekana vizuri. Wengine mtueleze...
0 Reactions
158 Replies
13K Views
Jamani wameanza kuchakachua mapema majina yamechanganywa watu wanahangaika ovyo. Ila wanasema hawaondoki mpaka kieleweke. Mwamko upo wa hali ya juu. Mm nilikosa jina langu nimelia machozi. Kweli...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Nimeamka saa 12:45 nkajiandaa nkapata chai then mida ya saa 3:00 nkawa kanisani kusali na moja ya maombi yangu ikawa kuiombea Tanzania uchaguzi wa Amani na utulivu. Then kunako mida ya saa 5:08...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Matokeo yakihesabiwa vituoni wakala ataondoka na kopi yake lakini wakati huohuo ili amrahisishie kazi anayejumlisha jiboni, anaweza kutuma hata kwa message kwenye tally centre yaani ile ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi vituo vya kupigia kura vinatakiwa vifungwe saa ngapi? Nimesikia katika TV channel moja kwamba vinafungwa saa 10.00 jioni. Kwa maoni yangu ni mapema mno na sioni sababu yoyote kwanini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huko Lindi CCM imewasimamisha viongozi 50 wa ngazi mbalimbali kwa tuhuma za kuhujumu chama. Huko Arusha nimeletewa habari za kuamninika na mmoja wa walioko kwenye kampeni za mgombea ubunge kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna habari huko Geita kuna kituo wanatumia Daftari la mpiga kura la 2005 baada ya daftri la 2010 kukosekana. Ama kweli NEC mwaka huu imeboronga balaa....
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau nimewahi kupiga kura pale Utawala Mlimani nikiwa mtu wa saba then nikaingia church. Katika tangazo la Tume rangi ya BLUU ni uraisi, NYEUSI ni Ubunge na NYEUPE ni udiwani. Lakini kwenye kituo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom