Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Moyo wangu umeshtushwa ghafla baada ya kuulizwa swali hili! hvi kuna madhara yoyote kama wale wakikukunjia? Na ni kwanini wanatoa karatasi zikiwa zimekunjwa? Je kuna uwezekano wowote wa kura...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza nimejikuta naingiwa na uzalendo wa hali ya juu wa kufanya Campaign ya masafa marefu (kwa simu) kuhamasisha ndugu, rafiki, na jamaa zangu huko Tanzania kwenda kupiga Kura...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jamvi Zimebaki siku chache watanzania wenye Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea kulijongelea Sanduku la Kupiga kura ili Wafanye Maamuzi yatakaamua Hatma ya Maisha yao kwa kipindi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninasikitika kwa kutokuweza kutumia haki yangu ya kuchagua viongozi wangu leo. Nilijiandikisha kupiga kura, nilihakiki jina langu kwenye tovuti ya NEC, bahati mbaya nimepata safari ya ghafla ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Watanzania waliowengi wameonnyesha hali ya kukomaa kisiasa na kuelewa elimu ya uraia. kwa kipindi chote cha kampeni watanzania wamwkua watulivu huku wakisikiliza sera za wagombea wa nafasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Nimetoka kumuua kikwete kweny ballot box Kulikuwepo mawakala wawili tu , CUF na CCM sijawaona wengine hii ni soo
0 Reactions
71 Replies
5K Views
Jamani hakuna uchaguzi ulio makini kama wa leo.nec walijiandaa vizuri utaratibu wa kupiga kura nimeukubali hata asiyejua kusoma na kuandika atapiga kura yake maana vijana wa kuelekeza wanajua kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kweli mwezenu ni mshabiki mkubwa sana wa rais mstaafu Benjamin Mkapa. Leo ameniboa mpaka mwisho. Hivi sijaelewa kama rais wetu mstaafu ameongea toka moyoni! Kutoka leo si shabiki wake tena...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Gazeti la Tanzania Daima la leo limemkariri mgombea Uraisi kupitia Chadema ya kuwa akiwahakikishia mashabiki wake ya kuwa atashinda kwa kishindo na yakuwa wapigakura safari hii wamemkubali awe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wana jamvi naomba kama kuna mtu mwingine anaweza ku access blog za watanzania, for about three days Blog Nyingi zimekuwa hazinguki sijui kwa sababu Je inawezekana blog za Kibongo zimepigwa Pini?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, Uchaguzi unaisha leo saa 12. Ninawaomba baada ya hapo tupeane habari za uchaguzi kwa amani bila matusi wala jazba. Tujiepushe na zile habari za kuzua na kuwadanganya wana JF. Kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo asubuhi nilifika kituo cha kupigia kura Mokorora shuleni saa 6:05 AM na kuwa mtu wa pili kufika hapo kituoni. Nilishangazwa na Land Rover 110 za F.F.U zenye askari waliovalia kivita...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimepata habari mida hii kutoka Tarime kutoka kwa jamaa yangu mmoja kwamba huenda kukatokea vurugu pale kushinda zile za mwaka juzi wakati wa uchaguzi mdogo. Anasema makada wa CCM wanataka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati ndo natoka kupiga kura nafika tu home nikafungulia choice fm ambayo bbc idhaa ya kiswahili wanaitumia kurusha matangazo maalum ya uchaguzi wa tanzania, nikasikia wanatangaza kuwa leo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
31/10/2010 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema italazimika kurejea uchaguzi katika wadi nne za Mji Magharibi kutokana na hitilafu zilizotokea katika karatasi za kupigia kura. Akizungumza na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu kama kuna suala lolote lisilo la kawaida au linavuruga haki ya mtu kupiga kura kwa uhuru na kwa siri basi tunaweza kutuma kwenda LHRC ili wasaidie kufuatilia. Maelekezo tuliyopewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu huyo mwenye kadi hii amehangaika kutafuta kituo chake cha kupigia kura bila mafanikio ameangalia mpaka kwenye website ya nec bila mafanikio, je watu kama hawa wapo wangapi na nec wanaagenda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Early in the morning, well - around 0830hrs, I'm on a queue, waiting for victory, yes, a 3-0 victory, (diwani, mbunge + rais) The chat with fellow citizens gives me hope, that a new era is coming...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
CHADEMA wamemaliza kampeni za ubunge jimbo la Nyamagana leo jioni katika eneo la mkolani.Mabere marando alikuwepo kumsaidia Wenje Dibogo wa CHADEMA!Umati mkubwa umejitokeza siku ya leo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WEKA HOJA AMBAYO IPO VERY CURRENT FOR THIS TIME TUPE HABARI ZA VITUO UPANDE WAKO HALI IKOJE MAMBO YA YAHAYA ATUTAKI KUSIKIA ATUSAIDII SA HIVI 2AMASISHE WATU IYO HOJA YA YAHAYA WANA JF HAITUSAIDII...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom