Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu wana-JF mlioko Mwanza, nimepigiwa simu dakika tano zilizopta 06:30 hivi na jamaa yangu aliyeko mitaa ya Nyegezi jijini Mwanza kwamba msafara wa Kikwete umepita eneo hilo ili nisikilize live...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Ni Polisi, Mgambo, JKT, Magereza Tossi asema Polisi peke yao hawatoshi Mwema ataka matokeo yaheshimiwe Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema p { margin-bottom: 0.08in; }...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waheshimiwa wana wa nchi , tukiwa tumebakiwa na siku tatu kabla ya uchaguzi mkuu, naomba nitoe mshangao wangu mkuu ambao najua wengi utawashangaza pia. wote wenye matumaini ya kuwa Slaa atakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, nimepata sasa hivi hiyo election monitoring tool- ipo kwa Kiswahili. Shukrani kwa Policy Forum, Forum Syd & Jimy Luhende
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshahara wenu kwa mwezi ni shilingi ngapi?, je zinatosha kwa mwezi? Nyumba mnazolala ni bora? Kodi mnayokatwa je ni halali? Madeni yenu mnayodai je mmelipwa? Sasa nakukumbusheni kuwa wakati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu mu wazima nyote. Kwa mawazo yangu ninaona ni vyema taasisi na asasi zote binafsi kufungua ama kuanzisha mtandao ambao utakua ukikusanya matokeo ya kila jimbo. Mfano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbali na wanafunzi wa elimu ya juu kuondolewa kimkakati kupiga kura, kuna kundi lingine nalo limeongezwa kwenye idadi ya watakaoshindwa kupiga kura Jumapili tukufu ya Mabadiliko. kwa Taarifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo mnamo saa 4:38 usiku, Jumanne Magembe ametangazia umma kupitia ITV kwamba CCM utatoa elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne. Ilipitishwa lini na Bunge?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Baada ya mgombea Ubunge jimbo la Maswa Magharibi Mhe. Shibuda kuachiwa na polisi kuwa hahusiki na mauaji,Kamati ya maadili ya Uchaguzi ya Wilaya hiyo imemjia juu Shibuda kwa kutaka aenguliwe na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutokana na upepo mkali unavyobadilika kwa kukubalika kwa Dr Slaa katika siku hizi za mwisho, jee kilichobakia kwa JK sasa ni kutegemea hisani ya NEC? Vinginevyo halionekani tundu la kupitia.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Magazeti mengi leo yakiwemo Mtanzania na Majira yameripoti Waziri mwenye dhamana ya kusimamia maendeleo ya elimu hapa chini Profesa Jumanne Maghembe akinena ya kuwa sera ya elimu ya chama chake...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ninaangalia star tv, nimeona wakisema kuwa Mh.Baregu na Mh.Marando wameitisha kikao cha waandishi wa habari lakini mpaka sasa hawajasema lolote, kwa mujibu wa star inaonekana wana ujumbe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI za Uhakika ambazo nimepokea Punde kutoka kwa viongozi wa Dini jijini Mwanza ni kuwa Baada ya Bernaed Membe kujaribu kuzungumza na viongozi wa dini na madhehebu ya Kikristu na kushindwa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Wana JF, Nilimsika mshikaji wangu mmoja akimwambia mtu wake wa karibu sana kuwa mume wa dada yule si wajua yuko TAKUKURU kanda Furani hapa nchini? Jamaa akasea hee nafahamu ilo sasa anafurahia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear my senior fellow citizens; Dr.Jakaya Mrisho Kikwete Prof.Ibrahim Lipumba Dr.Wilibrord Slaa Mr.Hashim Rungwe Mr. Mutamwega Mugahywa We appreciate your interest in the position of...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
I'm the best,I can do it. I'm great,you all know me. Give me more and get back more in return. Are you getting confused in political campaigns?Yes,political.The world has politicians in the...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Kila nikijaribu kucheki comments za uchaguzi wa mwaka huu, naona zinatolewa na wanaume tu...! Jamani tunatafunwa na nini? Ni kwamba wadada/wamama zetu wamefanikiwa kutishiwa kuwa iwapo watachagua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hi warombo sasa ni aje wajameni naona mramba keshawadanganya wazee kule kuwa pesa za ufisaji amejenga nazo bara bara ha ha ha, hivi haya ni ya kweli?:tape:
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kwa kua naamini bila ya shaka yeyote ile kua zimebaki siku chache dr slaa kujuta kwa kuacha kugombea ubunge na kuona jinsi gani wenziwe walivyomuuza ningelimuomba mheshimiwa Rais JK katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom