Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanajamvi leo TBC wamekuwa wakionyesha sana documentary ya wakimbizi wa Congo waliopo hapa kwenye kambi zetu za hapa nchini. Nimeona documentary saa sita mchana na saa tisa alasiri. Je ni zile...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wadau, Lipumba yuko live hapa ATN , MMMHHH hana mvuto, nilidhani hataenda kwa sababu ni ya Wakristo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hii nimepata kali sasa hivi: Jamaa yangu kutoka New Habari (inayomilikwa na fisadi RA) sasa hivi kaniarifu kwamba wafanyakazi wote pale wameamua kumpigia kura Dr Slaa siku ya Jumapili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana kuona bendera ya pipooooz inapepea vijijini kabisa ambako kuna umaskini mkubwa sana na nyumba zao za nyasi. Ila sina hakika kama watalinda kura zao baada ya kumpa Dr Slaa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani eee! kuna mtu kanidokeza kuwa ili vijana wengi wasipige kura kuna njama imefanyika, nayo ni kwamba, majina ya vijana wengi yametawanywa katika vituo tofauti ambavyo hawakujiadikishia wakati...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani chadema imekuwaje baadhi ya maeneo tunasikia hakuna mawakala sasa mnategema nini si mtakuja kutulalamikia baadae kuwa kura zetu zimechakachuliwa? kwamfano huko simanjiro kwenye kata ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polisi huko Songea wanamtafuta mtoto wa darasa la Sita kwa kumvisha mbwa tisheti ya CCM. Hata watoto wamechoshwa na CCM. Huyo mtoto asisumbuliwe. Ameonyesha uzalendo wake. Watanzania wote waige...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watu wameonekana kuchoka na ufisadi. Hiyo ni picha halisi ya kutoka Songea. Ndizo dakika za lala salama. Tisheti za Rushwa wanavishwa mbwa. Watu wanataka maendeleo ya kweli na si maendeleo ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Alipoenda kuvinjari Temeke kata ya Sandali pale wananchi katika shida zao wakamwambia kuwa wanaitaji Zahanati. Jibu lake ni kuwa serikali haina eneo la kijenga zahanati tena akatania Mwenyekiti wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jumapili, Octoba 31, tunapokwenda kupiga kura kuwachagua rais,wabunge na madiwani tufanye hivyo kwa kuzingatia sheria kuu kumi zifuatazo: 1.Tambua kwamba kura ni silaha takatifu inayokuwezesha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu ambao wako bongo watakubaliana na mimi kuwa sasa hivi kumekuwa na documentary ya ujenzi wa barabara nchini, documentary hiyo inaonesha barabara zilizojengwa na mipango ya barabara zitakazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenye hotuba aliyoitoa April 03, mwaka 1964 huko Cleveland, Ohio; Malcolm X, aliwahi kukaririwa akisema, "Kura ni sawa na risasi. Hufyatui risasi ovyoovyo mpaka kwanza uone shabaha, na kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Watanzania sasa tumeendelea kidogo, tumetoka KU’DEEP mpaka KU’BEEP. Kwa maoni yangu, Dr. Slaa wakati anaombwa kuchukua form ya urais, nadhani alikuwa anajua kuwa hata pata urais, wala...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Rais mtarajiwa wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amethibitisha kuwa CCM ni wezi wa kura na kwamba mahakama ilishathibitisha na kutoa hukumu aliyoshinda Slaa kuwa CCM walimwibia kura 5000...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sijui nayo inachakachulika!?? SIKU TANO ZIMEBAKI:KURA YAKO YA URAIS UTAMPA AU UNGEMPA NANI? - BongoCelebrity
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Mara nyingi sana napata mawazo ya watu wengi sana kuhusu uchaguzi wa mwaka huu, nikikutana na akina mama karibia wote, wanalaumu sana JK kwa mambo alivyoyaendesha, lakini wanasema Upinzania...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Muda si mrefu dk slaa ataanza kurindima kupitia redio ya watu. Hebu tuone hawa jamaa wameandaa vipi huu mdahalo. Kwa hili pia nawapongeza Clouds AUDIO (Kwa hisani ya Mfunyukuzi - JF Member)
0 Reactions
162 Replies
13K Views
Nimepata habari ya kuwa First lady alikuwa Kilosa jana na katika kijiji cha Kimamba aliahidi barabara y alami njia ya Mkata na pia vijiji vyote vya Kilosa kupatiwa maji. hili ni jimbo la Mkulo.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wapenzi na wananchama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa na bango lenye ujumbe mbalimbali, katika mkutano wa mgombea urais kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa...
0 Reactions
51 Replies
10K Views
Jana nilipata bahati ya kuusikiliza mkutano wa Dr Slaa uliofanyika katika viwanja vya MwembeYanga. Mkutano ulianza vizuri na wote waliopata nafasi ya kuzungumza walizungumza kwa ufanisi mzuri...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom